Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa.
Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika? Lakini Polisi awaoni kwamba walichofanya kinabadili mindset za jamii kutoka kusikiliza yanayoendelea kwenye mkutano waanze kujadili chadema?
Kimataifa pia upo uwezekano ukisearch taarifa za Tanzania ukajikuta unapata taarifa za CHADEMA kuliko taarifa za mkutano wa Nishati. Mara nyingi nyenzo za mawasiliano ikiwemo Google anakuletea the most discussed agenda kwenye eneo husika hivyo inaweza ikawa vigumu kupata taarifa na videos nzuri za mkutano wa Nishati.
Mawasiliano kwa umma ni taaluma ambayo wanataaluma wasipoweza kuchanga vizuri karata kila wakati habari zao zitamezwa na kuondoka kwenye mijadala.