Yaani Bashiru Ali asipige yowe kwa watu kuanza kampeni Sasa hivi ya ngazi zote ziwe udiwani,ubunge au uraisi Hana moral authority.Yeye keshaonyesha njia ya kampeni before time.Mgombea yeyote wa CCM ruksa kuanza kampeni fearlessly kwa ngazi zote iwe kwa Siri au wazi fanyeni.2020 Sio mbali na katibu mkuu kafungua dirisha. La kampeni.Niseme wazi Mimi huyu katibu mkuu simuelewi na nilipinga kabisa uteuzi wake Lakini Mwenyekiti akampa .Hayuko vizuri Sana kivile!!!!! Na bado sioni Kama ana fit hiyo nafasi pamoja na baadhi ya mazuri aliyofanyaHawa watu wameanza kampeni mapema, against katiba ya Chama na ya Nchi. Katibu Mkuu anatuma salamu live kwa WANA CCM waliokuwa na mawazo ya kumpinga Angelina wasipoteze muda wao. CCM mpya hii chini ya Comrade John Pombe ambapo nepotism imetamalaki na inafanyika mchana kweupe.
zamani wagombea walipitishwa na vikao kwa kushindanishwa ccm hii siyo wote ni ya kundi la watu tu kaeni chonjo hamna chenuKwa hili nakubaliana kabisa na wewe .Bashiru kazi Yake Sio kunadi wagombea wa ngazi yeyote.Kachemka Tena Sana.Hiyo Sio kazi ya katibu mkuu wa CCM kuwa makerting officer wa mgombea yeyote kabla ya chama kumpitisha mtu Kama mgombea.Chama kikishawapitisha wagombea ndio anatakiwa awa makert sokoni.Kachemka
IlemelaIgoma ni wapi?
Yaani mtu hata hajui kuwa igoma ipo Nyamagana afu mbishi....achana naeIgoma sio ilemela mkuu, ila mama anapiga kazi tuache utani
2020 chama kitarudishwa kwenye msitari ya CCM tuachieni wenyewe Nyie Upinzani jengeni vyama vyenu.CCM Ina uwezo mkubwa wa kupindukia kuogolea kwenye mawimbi makali mno .Nyerere aliisuka CCM ikasukika.Serikali hakuisuka vizuri Lakini CCM aliisuka barabara.Itachukua miaka 50 ijayo kwa mtu yeyote awaye awe CCM au nje ya CCM wa wazi au wa siri kubomoa CCMhii kweli ccm mpya wanaccm kindaki ndaki mtaisoma namba sasa hivi wangombea wanaopendwa wanapitishwa bila vikaoo wanaccm mnaojiona ni chama chenu mtaisoma namba ccm hii ni ya wachache kazi mnayo zamani wagombea walishindanishwa lakini ccm mpya inaamua tu poleni mnaojidnganya kuwa ccm ya jembe na nyundo ndyo hiyo hii ni ya wachache
Sitaki nitoe mifano. Ipo mingi.2020 chama kitarudishwa kwenye msitari ya CCM tuachieni wenyewe Nyie Upinzani jengeni vyama vyenu.CCM Ina uwezo mkubwa wa kupindukia kuogolea kwenye mawimbi makali mno .Nyerere aliisuka CCM ikasukika.Serikali hakuisuka vizuri Lakini CCM aliisuka barabara.Itachukua miaka 50 ijayo kwa mtu yeyote awaye awe CCM au nje ya CCM wa wazi au wa siri kubomoa CCM
Ulivuta bange wakati unaandika comment namba 3?Ilemela
Hivi Hospitali ya wilaya Ilemela ni ipi mkuu!?Igoma sio ilemela mkuu, ila mama anapiga kazi tuache utani
Buzuraga iko nyuma ya jingo la tfda, njema kabisaHivi Hospitali ya wilaya Ilemela ni ipi mkuu!?
Katibu Mkuu wa ovyo kuliko wote tokea Uhuru...... Hapo si kaonyesha upendeleo wa wazi na kuogopesha wanachama wengine...Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema hatashangaa kuona mbunge wa jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao 2020 kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake.
Ameyasema hayo jijini Mwanza katika mkutano Mkuu wa Jimbo la Ilemela na kuelezea utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kama ilivyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015.
Amesema kuwa hakuna kumnadi tena Dkt. Angelina Mabula kwa kuwa anazo sifa zinazomuwezesha kutetea kiti chake na yeyote anayetaka kuwania nafasi katika jimbo hilo ajue kiti hicho kishakaliwa pamoja na kata zake 19.
‘’Ole wake anayetaka kupitia mlango wa nyuma, chama kina utulivu sitashangaa Dkt. Mabula akipita bila kupingwa uchaguzi ujao,‘’amesema Dkt. Bashiru.
Aidha, amewaonya wabunge wa CCM waliozembea kufanya ziara za kutatua kero za wananchi pamoja na kufanya vikao kwenye majimbo yao kuwa hawatakuwa na ulinzi wakati wa kinyanganyiro cha kupendekeza majina ya kuwania nafasi hizo na kusisitiza kuwa kipaumbele kitatolewa kwa wabunge waliokuwa wakichapa kazi.
Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Mabula amesema kuwa jimbo lake kwasasa limepiga hatua kubwa kimaendeleo katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu, Uzalishaji na Mifugo, Viwanda na Biashara pamoja na Utamaduni na Michezo ukilinganisha na miaka iliyopita.View attachment 1168376
Igoma ni kata ya NyamaganaIgoma ni wapi?
Ilemela kabla hawakuwa na hospital ya wilaya, hospital imejengwa 2019-2020 eneo la Kabusungu njia ya kwenda Kayenze kupitia IlalilaHivi Hospitali ya wilaya Ilemela ni ipi mkuu!?
Ndio najua leo ila bado siamini, nachojua Igoma ni IlemelaIgoma ni kata ya Nyamagana