Sitashangilia taifa stars

Sitashangilia taifa stars

Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ntashabikia timu anayochezea yule WINGBACK - WADADA
 
Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekustukia wewe ni mganda unayejifanya mTZ na umetumwa kama kikaragosi, ki puppet, mamluki eti kuja kutuvuruga, hutofanikiwa kamwe na mganda hatoki pale kwa Mkapa. Kwendraaaa mwana kwendraaaa. TZ kwanza upuuzi baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michezo inafanya Nchi ijulikane na baadhi yao kupata kipato kwa Nchi kama Tanzania inatakiwa ifanye vizuri kwenye soka ili kutangaza vivutio vilivyopo vya utalii bila gharama yeyote...ni kwamba tumelala sana ndio maana hiyo password hatuna...nilichoshangaa ni boxer na Tshabalala kutoitwa Stars huyu Amunike na watu wake sijui wanamaanisha nini..
 
Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sitaenda eti makonda ndiyo muhusika mkuu wa kuleta ushindi
 
Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wakishinda ameshinda nan wakina samatta au bashite? Nadhan ni waliopo on pitch battle ...yaani usishangilie starz kisa wanasiasa huo ni wazimu...by the way kama tukifanikiwa kwenda afcon vijana wetu kina mkude ...feitoto wanaweza kupata Tim za nje..... Chukia siasa Ila usichukie soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom