Sitashangilia taifa stars

Sitashangilia taifa stars

MOD NAONA TANGU JANA WAMESHINDWA KUFUTA NYUZI ZA KUISHANGILA UGANDA ...KUTOKANA NA UHAMASISHAJI UANAOFANYWA NA NDULI!
 
Katika kundi la watu kumi kicha mmoja hakosekani

Happiness is a lifestyle
 
Hii ni hatari sana...

Lakini kwanini wamemleta DAB...

!??
 
Haishangazi saana maana yalianzia kwa Yanga kushabikia timu za nje zilipokuwa zikicheza na Simba. Kwa hiyo mleta uzi huenda ana vinasaba vya kushangilia timu za nje.
 
Sawa tumewasikia watanzania....Tutafanya venye mnapenda mtafurahia show....
 
Back
Top Bottom