Mimi ntashabikia timu anayochezea yule WINGBACK - WADADASina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Namkataa makonda na mambo yake yote,na kazi zake zote,na------" kutokwenda kanisani ni shida sana! Hadi sala nimeanza kusahau!hao ndio watanzania,kwa unafiki tunaongoza duniani
Ni vizuri mkahamia uganda na kuchukua uraia
hater!"Namkataa makonda na mambo yake yote,na kazi zake zote,na------" kutokwenda kanisani ni shida sana! Hadi sala nimeanza kusahau!
The one like no other!! Wanna hate?hater!
Mamluki!!Mogella, Mwameja, Kenn Mkapa ,Minziro,Tino etc kila siku wanatelekezwa hao ndio wenye haki sio Kina Ambaruty Wema. Kumbafu wote mnaoishi kinafiki nq kisiasa. Kashangilieni wenyewe. Tusiopenda unafiki TUSIENDE KABISA tusije wapa hela wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekustukia wewe ni mganda unayejifanya mTZ na umetumwa kama kikaragosi, ki puppet, mamluki eti kuja kutuvuruga, hutofanikiwa kamwe na mganda hatoki pale kwa Mkapa. Kwendraaaa mwana kwendraaaa. TZ kwanza upuuzi baadaeSina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sitaenda eti makonda ndiyo muhusika mkuu wa kuleta ushindiSina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wakishinda ameshinda nan wakina samatta au bashite? Nadhan ni waliopo on pitch battle ...yaani usishangilie starz kisa wanasiasa huo ni wazimu...by the way kama tukifanikiwa kwenda afcon vijana wetu kina mkude ...feitoto wanaweza kupata Tim za nje..... Chukia siasa Ila usichukie sokaSina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha?? Namshamgilia Okwi Okwi rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mara miahao ndio watanzania,kwa unafiki tunaongoza duniani
Ni vizuri mkahamia uganda na kuchukua uraia
Kwahiyo tushangilie ushindi wa CCM! Kwani ushindi bila kuihusisha CCM unakwenda Chadema?hao ndio watanzania,kwa unafiki tunaongoza duniani
Ni vizuri mkahamia uganda na kuchukua uraia