Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Kama una mishe zako fuga yaani biashara zako hata hivyo jamii yetu inajua marasta ni uhuni kutokana wengi kuwa hivyo so jiandae kutengwq kidogo mwanzoniLeo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu
Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo nikijikuta nanyoa tu mara kadhaa
Nikiwa na dread za miaka miwili upinzani huibuka
Sijui ndugu huwa mnawezaje huu upinzani mfano mke wako hapendi muonekane wako na kila siku analalamika tu
Mungu nisaidie nisije kupata wazo la kunyoa nisilipate tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeajiriwa office ya watu hebu usifuge huo uchafu kichwani sawa boss atafukuza haraka sana hasa office za maana
Pia ukifuga marasta jiandae kuto heshimika mtaanin utaonekana tu mvuta bangi na kama huna hela ndo kabisa watahisi teja
Bichwa ni lako kufuga au kuto fuga juu yako