Sitathubutu tena kushika simu ya mwanamke

Hata mimi nimeshangaa dogo analia wanaume watatu tu!!!

Kwa mtizamo huu hali ni mbaya kwenye mahusiano!! Mafiga matatu!! Ndo kusema wengine wana wanaume km matundu ya mchina au?
 
Mwisho usipekue simu ya mwenzako wakati wewe mwenyewe ni kakajambazi. Do to others as......
 
Halafu mimi nikisema watu waaminifu wamekuwa tunu, nabishiwa.

Papo hapo, watu wengine wanashangaa kwa nini watu wengine hawataki kusikia habari za ndoa.
 
Nilikua nasoma article moja wanasema hiyo pia ni cheating, cos amount ya time, emotions, feelings unazotumia nao was meant kwa ur partner na sio wao
unachosema ni ukweli mtupu...na hii hutokea pale mhusika anapo shindwa kukamilisha na kuikalia nafasi yake vema. ...mwishowe huchukuliwa na hao.
 
Mtu anaeitwa mwanamke acha kabisa aiseee
 
Mamaye,umesema ulichokutana nacho huko ni siri,sasa umewashwa nn kuanzisha uzi?
 
Kwa mtizamo huu hali ni mbaya kwenye mahusiano!! Mafiga matatu!! Ndo kusema wengine wana wanaume km matundu ya mchina au?

Mkuu hebu acha kunichekesha aiseee, khaaaa!! mi nimeandika kiutani tu bana
 
wanawake wanatamaa sana uki+ na njaa wanauza k kama hawa akili
 

Inawezekana Mimi ndo nimekuelewa tofauti yaani Umekuta wanaume 3 wanamla Uroda kwa Pamoja....kwasababu kitendo cha kukuta mwanaume hata1 kinauma,so nahisi idadi sio issue,nahisi imekuta wanamla Uroda kwenye Picha ulizo Back up!
 
hahaha tena huyo kajitahidi.Jamaa hajui kuwa fimbo ya mbali haiwi nyoka
 
Bado hujawajua hawa viumbe,usipende kwa dhati ili usiumie ukitendwa
 
Kweli tutakwisha, unafikiri ni wangapi hawaoni ? Hata ww ilikuwa zari tu Kuona, usingeona vipi ? Ungepima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…