Sitawafundisha Kila kitu

Sitawafundisha Kila kitu

Yanini kujichosha, ndo maana mnajinyonga, yaani uhonge na utumie hayo makitu kwa uliyemhonga halafu ukute uliyemhonga bado anatoka na mtu mwingine lazima utangulie
 
2017 nilikunywa hiyo kitu usiku kumbe haitakiwi dah ulikuwa usiku mrefu na mgumu sijawahi kuona na tangu hapo naiogopa hiyo energy hata kuisogelea
Ila ni energy in general zimenishinda
 
Ukimaliza kuwafundisha jikumbusheni pia kwamba hamuwezi kushindana na mlipotokea
Binadamu wote tumetokea kwa mwanaume, nyie mnapokea tuu mbegu, ndo maana mtoto akizaliwa ni wa Baba na anachukua jina la Baba.

Utamu tunao sisi sio nyie.
 
Mtoto ni wa baba sio?

Binadamu wote mmetokea kwa baba?nyie ndo mnazaa
Kuzaa haimaanishi mtoto ni wa mama, hilo ni jukumu lenu kubeba mtoto miezi tisa ili mwanaume aendelee kuwatafutia maisha.

Ila nyie wote ni mali ya Baba, kuanzia wewe na huyo mtoto uliyembeba tumboni.
 
Kuzaa haimaanishi mtoto ni wa mama, hilo ni jukumu lenu kubeba mtoto miezi tisa ili mwanaume aendelee kuwatafutia maisha.

Ila nyie wote ni mali ya Baba, kuanzia wewe na huyo mtoto uliyembeba tumboni.

Haya,rudi kasome comment yangu ya kwanza uelewe kulingana na uzi kwasababu naona unatoka nje ya uzi
 
Back
Top Bottom