Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)...
Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)...
Mkuu Fungua Account Instagram ...Angalia makampuni mengi ya real estate yanavojitangaza mfano mzuri ni Dalali mwanamke
Cha msingi jaribu kuwa mbunifu unapo post matangazo yako hakikisha unatoa details zote muhimu, Lakini pia jitahidi vitu muhimu kama hati uwe unawasaidia wateja wako kufatilia na kuwapa pindi wanapomaliza kulipa ....
Swala la hati linaongeza ushawishi sana kwakua watu wanaogopa sana kutapeliwa
Instagram inaweza kukuchosha sana maana.. view carriage yake ni ngumu sana kuifikia kwa wakati haswa kwa mtu anayeanza. Nashauri. Facebook market place is the best for a starter. Jiunge kundi nyingi za madalali. Facebook kuna watu wakila aina.