Site visit reprentative is needed Kigamboni DSM

Umeniquote vibaya mkuu sababu siko na lengo mbaya juu ya ile kitu mnafanya.
but kama umenielewa vibaya am sorry.
mkuu, nafikiri hajaelewa vizuri, ila kuna watu tumeelewa ulichomanisha.
 
Mwanangu nishakuambia usipitie pigo zangu, mzee wako napendwa na watoto wadogo...๐Ÿ˜‚ ona sasa unanipa aibu mbele ya TV...โ˜น๏ธ na kila memba amesha jua kwamba mimi namtaka huyo maua sama...๐Ÿ™„
Andaaa 300 ya mihogo, nisikuseme kwa maza๐Ÿค’
 
Huyu mzee nibahili ila sio kwangu maana anajua ninampaga vitamu sasa wewe jichanganye hadi mamako ananijua kuwa nikimuhitaji anaachia ngazi muulize na shares humo kwenu asilimi 40 sasa jichanganye nitakiseka rumande .
Labda share katika Lile banda la kufugia kunguni๐Ÿค’๐Ÿค’ Ushimen.
๐Ÿ‘‰Huyu hajui una miaka 2 haujaoga ehh, kisa unataka uwe tajiri ๐Ÿค’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ