mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa ni white party ya Zari....party party so lolote watakakofanya ukienda enjoy kama unataka show ya Diamond subiria uende.
Wewe sidhani kama ni mteja wa hiyo party! Wanao kwenda kule huwa hawa doubt kama unazo zionesha! Diamond ni msanii pekee ambaye hata akiimba na play back una hamasika kuendelea kumsikiliza! Tanzania hii msanii pekee ambaye akiimba live utapenda arudie hata mara kumi ni Christian Bella pekee na Barnaba wengine ni wasindikizaji!
Kwa hiyo kama ulishawai kuhudhuria show hata moja ya Diamond huwezi kumdoubt hata akiimba kwa play back!
peopleeeeezzzzz hamkosi maneno Uganda pia alikua dai eeh juzi juzi Kenya part ya zari na huddah palijaa tiketi zikaisha na watu wakakosa it was dai eeeh......1st may save the date lolUnadhani bila Diamond hiyo party ingejaa hivyooo... na tiketi kuisha mapema..... ITS ALL ABOUT DIAMOND pale.. bibi Zari masindikizaji tu
saidia kuwaelewesha kuwa sio SHOW hiyo ni PARTY....zariwhitepartMnacheka playback hao wa live hata mifani hamna ya kuweka...mf...y..uuuu
Mkuu wewe ukipenda kitu yaani unavyokisifia???
Ongezea na live ya msondo enzi za mzee Tx Moshi, Ngurumo nk.(RIP)
Unadhani bila Diamond hiyo party ingejaa hivyooo... na tiketi kuisha mapema..... ITS ALL ABOUT DIAMOND pale.. bibi Zari masindikizaji tu
Unadhani bila Diamond hiyo party ingejaa hivyooo... na tiketi kuisha mapema..... ITS ALL ABOUT DIAMOND pale.. bibi Zari masindikizaji tu
Evelyn Salt, jaribu kumwelewa mwenzako, huyu mpwa wangu Heaven on Earth... huyu na wewe ni baba mmoja na mama mmoja! Tatizo ni kwamba, baba enu kachepuka... wakati wewe umeshakubali matokeo na kuamua kuupokea mchepuko wa baba kwa mikono miwili, my HoE bado hajaukubali hata kidogo... tatizo ni hilo tu, mwenzako nimeshamuelewa zamani... !! Je, Ushanielewa?... Ipo hivi... nyinyi wote ni die hard fans wa Wema na Diamond! Wakati wewe umeshakata tamaa na kuukubali mchepuko wa baba... Zari, my HoE bado hajampokea mama wa kambo! Yaani my HoE siku hizi anapata taabu sana ku-balance mahaba kwa baba na mama pale inapotokea mama anashambuliwa na chanzo ikiwa ni baba... ni hayo tu, kwahiyo wala usiwe unamsuta mwenzako, fahamu tu kwamba kwa sasa yupo katika wakati mgumu... ni kipindi cha mpito hiki!!!!peopleeeeezzzzz hamkosi maneno Uganda pia alikua dai eeh juzi juzi Kenya part ya zari na huddah palijaa tiketi zikaisha na watu wakakosa it was dai eeeh......1st may save the date lol
peopleeeeezzzzz hamkosi maneno Uganda pia alikua dai eeh juzi juzi Kenya part ya zari na huddah palijaa tiketi zikaisha na watu wakakosa it was dai eeeh......1st may save the date lol
ha ha ha hapo kwenye kubalance mahaba hata mi namuona anapata tabu lolEvelyn Salt, jaribu kumwelewa mwenzako, huyu mpwa wangu Heaven on Earth... huyu na wewe ni baba mmoja na mama mmoja! Tatizo ni kwamba, baba enu kachepuka... wakati wewe umeshakubali matokeo na kuamua kuupokea mchepuko wa baba kwa mikono miwili, my HoE bado hajaukubali hata kidogo... tatizo ni hilo tu, mwenzako nimeshamuelewa zamani... !! Je, Ushanielewa?... Ipo hivi... nyinyi wote ni die hard fans wa Wema na Diamond! Wakati wewe umeshakata tamaa na kuukubali mchepuko wa baba... Zari, my HoE bado hajampokea mama wa kambo! Yaani my HoE siku hizi anapata taabu sana ku-balance mahaba kwa baba na mama pale inapotokea mama anashambuliwa na chanzo ikiwa ni baba... ni hayo tu, kwahiyo wala usiwe unamsuta mwenzako, fahamu tu kwamba kwa sasa yupo katika wakati mgumu... ni kipindi cha mpito hiki!!!!
ha ha ha watu wanahamu na wifi buana ndo maana nkakupa hiyo ya kenya ambayo dai hata kuitangaza hakutakangaza ila palifurika....ulichonifurahisha ni kuwa utakuwepo ha ha ha nmependaje hongeraDiamond ana influence katika hiyo zaituni white party mie mwenyewe haka ka ela kangu naenda kwa ajili ya Diamond not otherwise.... ange host hiyo party wakati hayuko Diamond ungeona salt.. date nishaisave sana lol BTW its my opinion you can take it or leave it..
Nitakusubiria getini... sawa enh?!Diamond ana influence katika hiyo zaituni white party mie mwenyewe haka ka ela kangu naenda kwa ajili ya Diamond not otherwise.... ange host hiyo party wakati hayuko Diamond ungeona salt.. date nishaisave sana lol
BTW its my opinion you can take it or leave it..