Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha watu wanahamu na wifi buana ndo maana nkakupa hiyo ya kenya ambayo dai hata kuitangaza hakutakangaza ila palifurika....ulichonifurahisha ni kuwa utakuwepo ha ha ha nmependaje hongera
Basi sawa... project moja lazima izae project nyingine ili maandiko yapate kutimia!Haaa poa chige.. nitakushtua nikifika...
pia dai kushasema mara kibao wanasaidiana kibiashara na hiyo ndo biashara yenyewe...au biashara hadi yawe maduka ya nguo lolAna mchango wake tena mkubwa tuu si kweli ni msindikizaji hizi headlines wanazo tengeneza bure..Diamond amekuwa na huyo mwanamke kwa kuwa anajua ni potential na ana mvuto na kuna watakao kwenda tena wengi kumuona vyema na wengine kumchunguza! Kwa hiyo kusema ni msindikizaji hawezi kuwa kweli nikikubali statement yako nitakuwa nimemchukulia Zari kama body guard wa Diamond jambo ambalo si kweli...!
ha ha ha ha kwa sasa dai na princess zarina ni chupa na mfuniko ukimuona mmoja umemwona mwingine hivo na wifi utamuona tu....sipati picha utakavokua unasonya all the time ha ha ha hela yako mwenyewe ila utapata traaaabuuuHaaaaaaaa naenda sababu ya Dai sio huyo wifi wenu ujue
Nilimuona mkono wa paka katika show za diamond za tigo na cocacola pale cocoWewe sidhani kama ni mteja wa hiyo party! Wanao kwenda kule huwa hawa doubt kama unazo zionesha! Diamond ni msanii pekee ambaye hata akiimba na play back una hamasika kuendelea kumsikiliza! Tanzania hii msanii pekee ambaye akiimba live utapenda arudie hata mara kumi ni Christian Bella pekee na Barnaba wengine ni wasindikizaji!
Kwa hiyo kama ulishawai kuhudhuria show hata moja ya Diamond huwezi kumdoubt hata akiimba kwa play back!
Tiketi zimeisha subiri dar live kukata mlangoniDiamond ana influence katika hiyo zaituni white party mie mwenyewe haka ka ela kangu naenda kwa ajili ya Diamond not otherwise.... ange host hiyo party wakati hayuko Diamond ungeona salt.. date nishaisave sana lol
BTW its my opinion you can take it or leave it..