Sitegemei playback.tarehe 1 May

ha ha ha watu wanahamu na wifi buana ndo maana nkakupa hiyo ya kenya ambayo dai hata kuitangaza hakutakangaza ila palifurika....ulichonifurahisha ni kuwa utakuwepo ha ha ha nmependaje hongera

Haaaaaaaa naenda sababu ya Dai sio huyo wifi wenu ujue
 
pia dai kushasema mara kibao wanasaidiana kibiashara na hiyo ndo biashara yenyewe...au biashara hadi yawe maduka ya nguo lol
 
Uwezo wa kucheza na kuimba bila playback hana. So tegemea playback. Tatizo pumzi
 
Haaaaaaaa naenda sababu ya Dai sio huyo wifi wenu ujue
ha ha ha ha kwa sasa dai na princess zarina ni chupa na mfuniko ukimuona mmoja umemwona mwingine hivo na wifi utamuona tu....sipati picha utakavokua unasonya all the time ha ha ha hela yako mwenyewe ila utapata traaaabuuu
 
Nilimuona mkono wa paka katika show za diamond za tigo na cocacola pale coco
 
Tiketi zimeisha subiri dar live kukata mlangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…