Sites za uhakika na tips za kuagiza online

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,075
Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:,
1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online.

2/Mtaji

3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China

4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa

5/Tips za kuwa makini.
 
kuna uzi tayari huu jaribu kusechi nyuzi za alibaba ama silent ocean
 
Kampuni gani hapa Tanzania ni ya uhakika katika kufanya sourcing ya bidhaa za China na wapo decent katika kazi hii yani unasource unalipa na wanakuwa smart katika katika kutuletea kwa wakati with no delay!
Tusaudieni, no one want to lose his hard cash.
 
Achana na kutumia makampuni au watu.

Lipia moja kwa moja kwa wauzaji, kuhusu muda wa mizigo kufika hapo kunahitajika uvumilivu huwa tunaweka 40 days, ingawa inaweza kuwa chini ya hapo.
 
Kampuni gani hapa Tanzania ni ya uhakika katika kufanya sourcing ya bidhaa za China na wapo decent katika kazi hii yani unasource unalipa na wanakuwa smart katika katika kutuletea kwa wakati with no delay!
Tusaudieni, no one want to lose his hard cash.
Brother nakuomba sana Uje kampuni ya Mo Cargo ,you will never regrate, any service you need ,we are there
 
Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:,
1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online.

2/Mtaji

3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China

4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa

5/Tips za kuwa makini.
Kama ni biashara mpya, ushauri wangu ni huu kwako.

Anza kununua hapahapa Tanzania kwa uchache, ujifunze na ujue soko lako vizuri, ujue aina ya wateja na mengineyo.

Biashara ukiona ulekeo mzuri na ipo stable, ndio unaanza mchakato wa kumtafuta mchinku.

Lengo la kumtafuta mchinku ni kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza wigo wa faida.

Kwa biashara mpya nguvu tunaweka kwenye kuisimamisha isimame imara kabla hatujaanza kutafuta mafaida makubwa.
 
Usipotoshe brother faida y kutumia kampuni maana yake wao wanabeba dhamana ya mzigo wako mpaka utakapo kabidhiwa, Njoo Mo Cargo uone jinsi bei zilivyo nafuu na uhakika wa huduma
 
Hamna anaepotosha.

Wewe unatafuta wateja, mimi natoa ushauri kulingana na uzoefu nadhani tuna milengo tofauti wote tupo sahihi inatagemea anataka nini muuliza swali.
 
Naomba WhatsApp namba, yupo jamaa anajiita FAGO, kampiga mtu, isijekuwa wabajigeuza geuza kuwapiga watu.
 
Unajua mtu anajipinda anatoa hela zake, zikipotea inauma bora utafute Agent wa uhakika akuletee Mali yko hasa kama mzigo ni mkubwa
 
Naomba WhatsApp namba, yupo jamaa anajiita FAGO, kampiga mtu, isijekuwa wabajigeuza geuza kuwapiga watu.
Sisi tupo Mnazi mmoja jengo la ushirika floor ya 12 karibu, Ni PM cwez kueka namba hapa
 
Kampuni haina official namba mkuu? OK, nakuja mkuu.
Official namba ni namba ya reception pale au mkurugenz mwenyewe, xx huoni kama utakosa mtu wa kkskiliza, ndo mana nataka kwanza tufahamiane then nitakupeleka au nitakuelekeza huduma zaidi znazopatikana
 
Back
Top Bottom