Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na kutumia makampuni au watu.Kampuni gani hapa Tanzania ni ya uhakika katika kufanya sourcing ya bidhaa za China na wapo decent katika kazi hii yani unasource unalipa na wanakuwa smart katika katika kutuletea kwa wakati with no delay!
Tusaudieni, no one want to lose his hard cash.
Brother nakuomba sana Uje kampuni ya Mo Cargo ,you will never regrate, any service you need ,we are thereKampuni gani hapa Tanzania ni ya uhakika katika kufanya sourcing ya bidhaa za China na wapo decent katika kazi hii yani unasource unalipa na wanakuwa smart katika katika kutuletea kwa wakati with no delay!
Tusaudieni, no one want to lose his hard cash.
Kama ni biashara mpya, ushauri wangu ni huu kwako.Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:,
1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online.
2/Mtaji
3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China
4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa
5/Tips za kuwa makini.
Hamna anaepotosha.Usipotoshe brother faida y kutumia kampuni maana yake wao wanabeba dhamana ya mzigo wako mpaka utakapo kabidhiwa, Njoo Mo Cargo uone jinsi bei zilivyo nafuu na uhakika wa huduma
Naomba WhatsApp namba, yupo jamaa anajiita FAGO, kampiga mtu, isijekuwa wabajigeuza geuza kuwapiga watu.Usipotoshe brother faida y kutumia kampuni maana yake wao wanabeba dhamana ya mzigo wako mpaka utakapo kabidhiwa, Njoo Mo Cargo uone jinsi bei zilivyo nafuu na uhakika wa huduma
Unajua mtu anajipinda anatoa hela zake, zikipotea inauma bora utafute Agent wa uhakika akuletee Mali yko hasa kama mzigo ni mkubwaHamna anaepotosha.
Wewe unatafuta wateja, mimi natoa ushauri kulingana na uzoefu nadhani tuna milengo tofauti wote tupo sahihi inatagemea anataka nini muuliza swali.
Sisi tupo Mnazi mmoja jengo la ushirika floor ya 12 karibu, Ni PM cwez kueka namba hapaNaomba WhatsApp namba, yupo jamaa anajiita FAGO, kampiga mtu, isijekuwa wabajigeuza geuza kuwapiga watu.
Kampuni haina official namba mkuu? OK, nakuja mkuu.Sisi tupo Mnazi mmoja jengo la ushirika floor ya 12 karibu, Ni PM cwez kueka namba hapa
Official namba ni namba ya reception pale au mkurugenz mwenyewe, xx huoni kama utakosa mtu wa kkskiliza, ndo mana nataka kwanza tufahamiane then nitakupeleka au nitakuelekeza huduma zaidi znazopatikanaKampuni haina official namba mkuu? OK, nakuja mkuu.
Taarifa zote zipo wazi, andika hapa unataka nini na nini utasaidiwa.Kampuni haina official namba mkuu? OK, nakuja mkuu.