Siti moja na mang'ati

Siti moja na mang'ati

chengbi

Senior Member
Joined
May 5, 2017
Posts
107
Reaction score
196
Wana jf msaada nimekaa siti moja na mang'ati kwa harufu anayotoa nahisi kutapika nataka ninunue maji ya baridi je itasaidia kukata kichefuchefu

sent from nyumbu moderators
 
Mkuu hao jamaa niliwahi kukaa nao toka Arusha hadi Dsm.Niliona safari chungu mkuu.
 
Wana jf msaada nimekaa siti moja na mang'ati kwa harufu anayotoa nahisi kutapika nataka ninunue maji ya baridi je itasaidia kukata kichefuchefu

sent from nyumbu moderators
Ukitaka ustaarabu, nunua gari lako
 
Wana jf msaada nimekaa siti moja na mang'ati kwa harufu anayotoa nahisi kutapika nataka ninunue maji ya baridi je itasaidia kukata kichefuchefu

sent from nyumbu moderators
mimi sitasahau siku moja nimekaa naye kwenye treni toka makambako kwenda dsm, akanywa soda ya kokakola akamaliza, kukabaki kama tumaji kidogi, akawa anatema mate kwenye ile chupa ili aisuuzishe anywe tena...aisee, mshikaji alikuwa karibu alitamani kumrusha nje. jamaa alikuwa ananuka yale madawa yao, utafikiri alilala kwenye zizi la ng'ombe!
 
Hayo maji ya baridi unataka ushushie baada ya kula harufu??
Au...
 
Back
Top Bottom