evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Huyu Binti wa Mhe Mtemvu ambaye amesababisha kufungiwa kwa mashindano ya miss tanzania,
na hivyo kuwakosesha fursa mabinti wengine na waandaaji wa mashindano hayo.
Nimemuona anahojiwa leo kwenye TBC 1 ambapo niliona anakinadi kitabu chake kinachojulikana kwa jina la Chozi la Siti.
Nimemsikia akilalamika sana sijui siku 30 za huzuni na kukashifiwa kwenye mitandao.
Namshauri kama kweli alihusika kwa namana moja au nyingine katika suala la kudanganya umri ni vyema akiri hadharani kwa kueleza ukweli na kuomba msamaha.
Aidha tulitaarifiwa kwamba suala hili lilifikishwa kwenye vyombo vya usalama pamoja na RITA mbona mrejesho haujarudishwa, ili kufahamu nani mwenye makosa, manake kwenye hili suala kuna mambo ya kughushi ambayo kama ni ya kweli ni kosa la jinai. wahusika wachukuliwe hatua za kisheria hata kama ni huyu mtoto wa mhe mbunge