Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sio kirahisi hivyo.WE TOA KISHA USIGEUKE NYUMA, WALA MKONO WAKO WA KUUME USIJUE YALE UTANDAYO MKONO WAKO WA KUSHOTO.
Kwa hiyo mwandika uzi umetuandikia misimamo yako ili iweje?, kwa faida ya nani? kuna mambo hata kama ni mazuri kwa upande wako ni vyema ubaki nayo mwenyewe si lazima uambie watu.. labda kama unatafuta attention jambo ambalo sio zuri kwa faida ya maisha yako... naondokaHello!
Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka
●Kwa namba ya simu iliyosJiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
.Hello!
Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka
●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.

Hakuna kitu kama hichoWE TOA KISHA USIGEUKE NYUMA, WALA MKONO WAKO WA KUUME USIJUE YALE UTANDAYO MKONO WAKO WA KUSHOTO.
Nabii mla jicho.Hakuna kitu kama hicho
Biblia inasema watunzeni yatima na wajane. huo ni msisitizo kuwa ujue sadaka yako inaliwa na nani.
Yaani najua wewe ni nabii kitombi tu unatumia sadaka kulala na makahaba kisha nikupe sadaka kwa kusema eti toa usigeuke...hata shetani atakudharau. Siwezi kumdhalilisha Kristo kwa kiwango hicho.
Watu wanalizwa sana kwenye bahasha za redio mariaHello!
Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka
●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina la mtu binafsi.
●Simpi sadaka anayehubiri barabarani au kwenye usafiri wa umma (mabasi) hasa akiomba sadaka. Pesa ampe aliyemtuma. Mungu hawezi kukutuma halafu ugeuke ombaomba. Hiyo haipo.
●Sitoi sadaka ambayo sijui inakwenda kutumiwa katika mazingira gani.
●Sitoi sadaka kwa mtu anayeweza kufanya kazi lakini tu kufanya kazi ya kuomba kama wale matonya wa posta.
Hello!

Wrong! Yesu hakumaanisha hivyoWE TOA KISHA USIGEUKE NYUMA, WALA MKONO WAKO WA KUUME USIJUE YALE UTANDAYO MKONO WAKO WA KUSHOTO.
Usitetee utapeli nduguKwa hiyo mwandika uzi umetuandikia misimamo yako ili iweje?, kwa faida ya nani? kuna mambo hata kama ni mazuri kwa upande wako ni vyema ubaki nayo mwenyewe si lazima uambie watu.. labda kama unatafuta attention jambo ambalo sio zuri kwa faida ya maisha yako... naondoka
Ni wakati sasa hizi sadaka zizibitiwe matumizi yake Watu wanajificha kwenye vichaka vya dini ili kuwaibia watu.Hakuna mtu amewahi lazimishwa kutoa sadaka, sadaka ni ibada ya hiyari toka moyoni.
Kutoa kwenye Jina la taasisi hakusaidii chochote, maana what matters ni integrity ya wasimamizi.
Mfano: Wahuni wamawezs sajili huduma ya Agape Ministry International, ikawa complete na account.
Wewe kuweka hela kwenye account ya hiyo taasisi hakumaanishi usalama wa sadaka yako, usalama ni integrity ya hao wato.
Sadaka inatakiwa iwe na msukumo wa ndani, na tunaitoa tukiamini tumetoa kwa Mungu, wao wakitumia vibaya watajuana na Mungu tuliyempa.