Hakuna mtu amewahi lazimishwa kutoa sadaka, sadaka ni ibada ya hiyari toka moyoni.
Kutoa kwenye Jina la taasisi hakusaidii chochote, maana what matters ni integrity ya wasimamizi.
Mfano: Wahuni wamawezs sajili huduma ya Agape Ministry International, ikawa complete na account.
Wewe kuweka hela kwenye account ya hiyo taasisi hakumaanishi usalama wa sadaka yako, usalama ni integrity ya hao wato.
Sadaka inatakiwa iwe na msukumo wa ndani, na tunaitoa tukiamini tumetoa kwa Mungu, wao wakitumia vibaya watajuana na Mungu tuliyempa.