Sitoi sadaka katika mazingira haya

Kwani sadaka wanayoongelea hawa wahubiri ni mahindi ya kula nyumbani kwao au wanataka pesa tuu!!?????
 
SadakA sio pesa pekee jikague na kwingine Utagundua we ni mtoaji mzuri tu.
Kila mtu Ana madhabahu yake anakojitolea kwa moyo... Wengine kuhonga, wengine Kwenye Kula.
Na wanatoa kwa kumaanisha bila kupepesa macho.
Ni kweli sadaka siyo pesa peke yake ila wanachotaka hawa matapeli wa kidini ni pesa pesa pesa tuuuu!!!
 
Ni jiwe gizani mkuu?
 
Ni kweli sadaka siyo pesa peke yake ila wanachotaka hawa matapeli wa kidini ni pesa pesa pesa tuuuu!!!
Sadaka za wanyama, damu na kuteketeza Sir God alishahama upande huo.aahata ukitoa dhahabu hawatakaa navyo vikasaidia huduma bila kufanywa Pesa
 
Hongera sana,,,cla
Hongera sana,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…