Sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wowote kwa walichotufanyia kwenye mikopo ya elimu mwaka huu

Tumbili wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2024
Posts
1,125
Reaction score
2,233
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.

Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.

Shusha maoni yako chini.
 
Naapa sitoipigia kuraCCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Umechelewa kugundua
 
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.

Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.

Shusha maoni yako chini.
Ukipewa mkopo unaipigia kura CCM? Kwamba shida Yako ni mkopo pekeee?
 
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.

Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.

Shusha maoni yako chini.
Sababu yako ni very very personal.
 
Kutokupiga kura kwako hakusaidii lolote. Je utakua tayari kuwachaaambia hili na je ubaya wao CCM ni wewe kukosa tu mkopo..?
Swali la mwisho je muombaji hauna makosa yeyote katika maombi yako ya mkopo..?
Usinichukie ni mm mwana wa tanganyika
 
kura yako wala hainashida mimi nitaipigia na itashinda maana tupo wengi wewe pekeyako wala hutusumbui
 
Kutokupiga kura kwako hakusaidii lolote. Je utakua tayari kuwachaaambia hili na je ubaya wao CCM ni wewe kukosa tu mkopo..?
Swali la mwisho je muombaji hauna makosa yeyote katika maombi yako ya mkopo..?
Usinichukie ni mm mwana wa tanganyika
Mwaka huu batch zimekua nne tu tafauti na miaka mingine uwa zinakua hadi 7
 
Back
Top Bottom