Tuungane hata sisi wastaafu tuliokumbwa na kikokotoo na kuahidiwa kulipwa arrears ambapo mpaka leo tumedangamywa tunaungana nanyi mpaka kieleweke.Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.