Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Umechelewa kugunduaMwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kuraCCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Better late than never! Never late is better.Umechelewa kugundua
Ukipewa mkopo unaipigia kura CCM? Kwamba shida Yako ni mkopo pekeee?Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Ndio, shida yangu ni mkopo kila mtu anaangalia maslahi yakeUkipewa mkopo unaipigia kura CCM? Kwamba shida Yako ni mkopo pekeee?
Sababu yako ni very very personal.Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
kura yako wala hainashida mimi nitaipigia na itashinda maana tupo wengi wewe pekeyako wala hutusumbuiMwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Sawa singo mazakura yako wala hainashida mimi nitaipigia na itashinda maana tupo wengi wewe pekeyako wala hutusumbui
Kila mtu anaangalia na maslahi yake, kama wewe shida ni hampati ARV za bure andika humu malalamiko yakoSababu yako ni very very personal.
Mwaka huu batch zimekua nne tu tafauti na miaka mingine uwa zinakua hadi 7Kutokupiga kura kwako hakusaidii lolote. Je utakua tayari kuwachaaambia hili na je ubaya wao CCM ni wewe kukosa tu mkopo..?
Swali la mwisho je muombaji hauna makosa yeyote katika maombi yako ya mkopo..?
Usinichukie ni mm mwana wa tanganyika
Nikishaandika , utanipa msaada gani ?Kila mtu anaangalia na maslahi yake, kama wewe shida ni hampati ARV za bure andika humu malalamiko yako