Tuungane hata sisi wastaafu tuliokumbwa na kikokotoo na kuahidiwa kulipwa arrears ambapo mpaka leo tumedangamywa tunaungana nanyi mpaka kieleweke.Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Wanaweza kupitia wakajadili shida zakoNikishaandika , utanipa msaada gani ?
Ahsante kwa hali hii natafuta mshangazi tuPole sana mzee wa kama sio bikra usioe.
Aliyekwambia pesa zipo za kugawa Kwa Kila mtu ni nani? Watapiga waliopata πππππMwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Tatizo kuandamana mnitoe sitaki kufa mapema bora nyinyi wazee mmeisha kula chumvi mkatuwakilisheTuungane hata sisi wastaafu tuliokumbwa na kikokotoo na kuahidiwa kulipwa arrears ambapo mpaka leo tumedangamywa tunaungana nanyi mpaka kieleweke.
ππMzee wa jiji la mbeya mwambie mama atusaidie na sisiAliyekwambia pesa zipo za kugawa Kwa Kila mtu ni nani? Watapiga waliopata πππππ
Mikopo ipo Kwa fani za kipaombele, Serikali imetenga Bilioni 700 kukopesha wanafunzi wa Vyuo vya Kati Hadi Vyuo Vikuu.ππMzee wa jiji la mbeya mwambie mama atusaidie na sisi
Nilikuwa naipigia hesabu boom nikipata niwatembezee moto hawa watoto wa aiefuemu ninavyoandika hapa nishaibiwa demu tayariMikopo ipo Kwa fani za kipaombele, Serikali imetenga Bilioni 700 kukopesha wanafunzi wa Vyuo vya Kati Hadi Vyuo Vikuu.
Fuateni utaratibu uliowekwa na TCU ,mkikidhi vigezo mtapata maana pesa zipo Kwa kazi hiyo.
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Haitasaidia kitu.Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi wengi wenye uhitaji wa mkopo kuacha chuo kwakua hawawezi kumudu gharama za masomo.
Naapa sitoipigia kura CCM kwenye uchaguzi wa aina yoyote.
Shusha maoni yako chini.
Kwani viongozi ahadi wanazotoaga uwa wanazitekeleza?Huo mkopo unaotaka ukipewa utaweza kulipa?
Duh hatari na nusu hii mkuu. No muendelezoMwaka huu batch zimekua nne tu tafauti na miaka mingine uwa zinakua hadi 7
Tangu lini CCM walikwambia wanahitaji kura ili kuingia madarakani?,yaani Msomi mzima hili hulifahamu?