je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin
Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal
Kipindi ambacho napitia magumu nlikuwa nabebwa na wife hamuwezi amini mana Mimi Huwa katika suala la fedha sijivungi
Nikiwa nacho nanunua Kila kitu ndani na pesa ya kula natoa vile vile .kumbe wife ni mtu WA kisave sana .kipindi napitia msoto mkali wife alikuwa anatoa kibubu chake kimya kimya.
Sasa hivi Nina vijana wangu wawili tunapambana sehemu na vijana wanaotoka na elfu 10 Kila mmoja na miasha yanaenda tu hivyo hivyo Alhamdulilah
Kuna level nikifika nikijipambanua vizuri nachoma vyeti moto .potelea mbali