Sitoisahau mwaka 2022 ! Kuna kipindi nilipigika balaaa

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin

Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal

Kipindi ambacho napitia magumu nlikuwa nabebwa na wife hamuwezi amini mana Mimi Huwa katika suala la fedha sijivungi

Nikiwa nacho nanunua Kila kitu ndani na pesa ya kula natoa vile vile .kumbe wife ni mtu WA kisave sana .kipindi napitia msoto mkali wife alikuwa anatoa kibubu chake kimya kimya.

Sasa hivi Nina vijana wangu wawili tunapambana sehemu na vijana wanaotoka na elfu 10 Kila mmoja na miasha yanaenda tu hivyo hivyo Alhamdulilah

Kuna level nikifika nikijipambanua vizuri nachoma vyeti moto .potelea mbali
 
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin

Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal mpaka sasa hata sikumbuki email niliyo jiunga na password zake naona michosho tu.

Kila interview ninayo enda naangukia pua

Last interview ilikuwa tax management nilipigwa ndoige ndio nikaachana kabisa na huu upuuzi WA kutafuta ajira rasmi.

Nakomaa kivyangu tu na sikosi Hela ya kula Alhamdulilah.

Sasa mwaka Jana sijui kilitokea Nini kwa kweli!! Hata Mimi nashangaa lakini nadhani ni mambo tu ya rizki haikuwa upande wangu

Vibiashara vyangu viliyumba sana nikawa kwa siku siingizi hata mia nyekundu.

Dah niliyumba vyakutosha

Ilifika stage najisemea basi nipate sehemu ya kushika nipate angalau elfu 5 tu .ita nisaidia kuacha hata Hela ya kula home. Lakin wapi aiseee nili suffer sana.

Wakati yote hayo yakitokea mtaani kwangu bado naonekana kama mwenye maisha Bora sana kutokana na style ya maisha yangu.

Japokuwa watu mtaani hawajui nafanya kazi wapi mana hata mm mwenyewe sijui nafanya kazi wapi ila vihela vya kula havipigi chenga mana kuweka stock ya unga ,sukari, nyama,samaki, na vitu vyote sio shida sana

Raia WA mtaani wanahisi labda ntakuwa muuza madawa kumbe sometimes maisha Yao ni Bora KULIKO yangu ila tu maisha yangu yamejicha sana.ila kwa kuwa naishi kwenye nyumba yangu basi maisha burudani na watu hawajui unakula Nini humo ndani wanaona tu unatoka asubuhi na kurudi jion

Basi ikawa hivyo ,ilifika stage Hadi nikataka kuenda kuomba mtaji ukweni nilikuwa nishapanga kuvaa mabomu tu Bora nidharaulike KULIKO kuendelea kuwa Sina kitu mfukon

Nikaleta na mada humu ya kuwa nataka kuenda kuomba capital ukweni ila watu humu wakanikataza nikauchuna.

Nikaenda kuomba mtaji kwa mwanangu mmoja akanizungusha kama mwezi hivi ila akanipatia na Hadi leo sijamrudishia na nishamwambia hii tulia kwanza

Basi tangia mwaka huu umeanza umekuwa na heri kubwa nakumbuka mwaka Jana nlikuwa nataman kupata elfu 5 tu kwa siku ila sasa Ile elfu 5 x 7 naiona haitoshi nataka 5x14 angalau

Coz nimezoea kuishi maisha makubwa ila hata hii bado naweza kuisha safi tu

Kila la kheri Kaka...Ndio Maisha
 
Hongera sana mkuu kwa kupambana.

Nyakati ngumu huwa hazidumu, tupo wengi tuliopitia katika vipindi vigumu ila vilipita kwa sababu hakuna lenye mwanzo lisikokuwa na mwisho.

Pia changamoto huwa zinatukomaza na kutuongezea nguvu za kupambana.

Ila baadhi ya Wanawake wanaojielewa, kwenye vipindi vigumu huwa msaada mkubwa sana.
 
Yule chali wako ulipata kumrudishia hela yake?. Hili ni la kwanza kufanya anae kuazima hela huyo ni rafiki alie kuamini
 
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin

Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal mpaka sasa hata sikumbuki email niliyo jiunga na password zake naona michosho tu.

Kila interview ninayo enda naangukia pua

Last interview ilikuwa tax management nilipigwa ndoige ndio nikaachana kabisa na huu upuuzi WA kutafuta ajira rasmi.

Nakomaa kivyangu tu na sikosi Hela ya kula Alhamdulilah.

Sasa mwaka Jana sijui kilitokea Nini kwa kweli!! Hata Mimi nashangaa lakini nadhani ni mambo tu ya rizki haikuwa upande wangu

Vibiashara vyangu viliyumba sana nikawa kwa siku siingizi hata mia nyekundu.

Dah niliyumba vyakutosha

Ilifika stage najisemea basi nipate sehemu ya kushika nipate angalau elfu 5 tu .ita nisaidia kuacha hata Hela ya kula home. Lakin wapi aiseee nili suffer sana.

Wakati yote hayo yakitokea mtaani kwangu bado naonekana kama mwenye maisha Bora sana kutokana na style ya maisha yangu.

Japokuwa watu mtaani hawajui nafanya kazi wapi mana hata mm mwenyewe sijui nafanya kazi wapi ila vihela vya kula havipigi chenga mana kuweka stock ya unga ,sukari, nyama,samaki, na vitu vyote sio shida sana

Raia WA mtaani wanahisi labda ntakuwa muuza madawa kumbe sometimes maisha Yao ni Bora KULIKO yangu ila tu maisha yangu yamejicha sana.ila kwa kuwa naishi kwenye nyumba yangu basi maisha burudani na watu hawajui unakula Nini humo ndani wanaona tu unatoka asubuhi na kurudi jion

Basi ikawa hivyo ,ilifika stage Hadi nikataka kuenda kuomba mtaji ukweni nilikuwa nishapanga kuvaa mabomu tu Bora nidharaulike KULIKO kuendelea kuwa Sina kitu mfukon

Nikaleta na mada humu ya kuwa nataka kuenda kuomba capital ukweni ila watu humu wakanikataza nikauchuna.

Nikaenda kuomba mtaji kwa mwanangu mmoja akanizungusha kama mwezi hivi ila akanipatia na Hadi leo sijamrudishia na nishamwambia hii tulia kwanza

Basi tangia mwaka huu umeanza umekuwa na heri kubwa nakumbuka mwaka Jana nlikuwa nataman kupata elfu 5 tu kwa siku ila sasa Ile elfu 5 x 7 naiona haitoshi nataka 5x14 angalau

Coz nimezoea kuishi maisha makubwa ila hata hii bado naweza kuisha safi tu

Kipindi ambacho napitia magumu nlikuwa nabebwa na wife hamuwezi amini mana Mimi Huwa katika suala la fedha sijivungi

Nikiwa nacho nanunua Kila kitu ndani na pesa ya kula natoa vile vile .kumbe wife ni mtu WA kisave sana .kipindi napitia msoto mkali wife alikuwa anatoa kibubu chake kimya kimya.

Sasa hivi Nina vijana wangu wawili tunapambana sehemu na vijana wanaotoka na elfu 10 Kila mmoja na miasha yanaenda tu hivyo hivyo Alhamdulilah

Kuna level nikifika nikijipambanua vizuri nachoma vyeti moto .potelea mbali
Huna ajira alafu unapika chai famba hivi dogo vipi umedata
 
@92 jerrie sasa chai Iko wapi mzeee au mpaka mtu aajiriwe serikalini Babu.?????? Mzeee sio mpaka uajiriwe babu.pesa inatafutwa kimkakati mzeeew
 
Nikaenda kuomba mtaji kwa mwanangu mmoja akanizungusha kama mwezi hivi ila akanipatia na Hadi leo sijamrudishia na nishamwambia hii tulia kwanza

Coz nimezoea kuishi maisha makubwa ila hata hii bado naweza kuisha safi tu
Pole ila kupitia maelezo yako nimeona kosa lako ni kutorudisha hela za watu. Huwezi kufanikiwa kirahisi kwa kutorudisha pesa za watu kwa wakati..

Sikufundishi kuishi ila ni upumbavu mtupu kama unaishi maisha makubwa hadi kufikia hatua ya kupigika.
 
Back
Top Bottom