Sitokisahau chuo cha St John's cha Dodoma

Mawenzi,mi niko UDOM mwaka wa tau sijawahi fundishwa na TA!ungesema Assistant lectures hao wako weng!labda wataje hao TA
Udom ina uhaba mkubwa wa wahadhiri pia,TAs wengi hupewa vipindi.....rafiki yangu pia alianza kufundisha hapo na degree yake moja......only SUA ndo ina zaidi ya 50%staff yake PhD holders
 
Mnachomshangaa mtoa mada mimi sikioni. Mbona chuo cha umma UDOM hiyo ni kawaida sana? MaTA waanafundisha hata postgraduates. Ndiyo hali halisi. Njooni mjionee

Uje utoe facts zako sijawah sikia TA akifundisha postgraduate yeyote asee usitake kuchafua chuo kwa sababu binaFsi.
 
Udom ina uhaba mkubwa wa wahadhiri pia,TAs wengi hupewa vipindi.....rafiki yangu pia alianza kufundisha hapo na degree yake moja......only SUA ndo ina zaidi ya 50%staff yake PhD holders

Hiyo ilikuwa ni mwaka gani? ?
 
Udom ina uhaba mkubwa wa wahadhiri pia,TAs wengi hupewa vipindi.....rafiki yangu pia alianza kufundisha hapo na degree yake moja......only SUA ndo ina zaidi ya 50%staff yake PhD holders

unaweza kuuzibitishia umma?
 
Inamaana hiki chuo ni sawa na shule za kata maana huku mkuu wa idaraa kwasasa ana degree .Cheki vyuo vingine kwa mfano SUA mkuu wa idaraa ni PHD au Prof
 
Daaaaah kweli kwa hili la TA kufundisha huwezi kusahau
 
hivi vyuo uchwara vya st..... ni tatizo. TA anafundisha?
 
bado si sahihi kitaaluma ASSISTANT LECTURER kuwa Mkuu wa Idara, atakuwa anawaongoza akina nani?
 
Mnashangaa TA kufundisha? mbona ya kawaida sana, tatizo viongozi wetu wa serikali wamelala usingizi wa pono. Ukienda vyuo vya private vingi hilo jambo la Kawaida sana, nenda Tumaini, na hizi za ST. ...... zote utakuta stori hiyo hiyo
 
mm nimesoma pale,sisi ndio tuliokifungua chuo,mkuu wa idara alikuwa Benzet Rwelengera ni PHD candidate

Aisee hicho Chuo hicho,yaa TA ni lecturer? Huyo ndugu yako issa Ramadhan ni shida ndo maana kuba jamaa wanasema ni vyuo vya Kata!
 
Last edited by a moderator:
Ebu acha uongo mr Ben na Rehema Ramadhani wote ni lecturers,na uyo rehema anachukua PhD now,labda ungesema anataka uandike alichofundisha na language ni kama hesabu formula hazibadiliki.
 
Udom ina uhaba mkubwa wa wahadhiri pia,TAs wengi hupewa vipindi.....rafiki yangu pia alianza kufundisha hapo na degree yake moja......only SUA ndo ina zaidi ya 50%staff yake PhD holders

Hao aliowataja wana masters na rehema anachukua phd now
 
Inamaana hiki chuo ni sawa na shule za kata maana huku mkuu wa idaraa kwasasa ana degree .Cheki vyuo vingine kwa mfano SUA mkuu wa idaraa ni PHD au Prof

Nimesoma pale hamna ukwel wowote
 
Mwenyew nimemaliza pale kumeniuma na Rehema now anachukua PhD
 
Mtoa mada kadanganya umma wa wanajamiiforums. hakuna kitu kama icho st. john's university.
 
Finder boy,hujui jana wamegoma na mojawapo ya malalamiko yao ni kufundishwa na ma_TA? kuwa mkwel st john wamejaa ma TA.
 
Hicho siyo chuo kifungwe tu,Wamejaa TA utafikir sekondar !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…