Mtoa mada siku nyingine kama huna taarifa za kutosha na za uhakika usitoe mada ili uonekane nawewe umetoa thread. Benezet ameanza pale ni Master holder. Na amepata ukuu wa idara tyr akiwa na masters yake. Kwa sasahivi ni Phd holder na sio mkuu wa idara tn. Ni Associate Dean FAHE. Mkuu wa idara ni Madam Millu. Sasa sijui wewe ulisoma st. John's ipi?. Alafu unakuta mtu anachangia bila hata doubt kuonyesha anaamini alichokisema mtoa mada kwa asilimia zote.
JF ni sehemu yenye heshima na kuaminika sio facebook kwahiyo usiiharibu kwa kukurupuka.