Sitokisahau chuo cha St John's cha Dodoma

Mtoa mada kadanganya umma wa wanajamiiforums. hakuna kitu kama icho st. john's university.

nadhani hata wewe hufahamu na hata hukifaham vizur chuo cha st.johns.kiukwel penye ukwel pawekwe wazi bt all in all may i say ninakushukur hicho chuo kwa kunipa my first degree lakin kama tungekuwa na serikali makini vyuo vingi visingeoperate tanzania
 
Nimesoma pale hamna ukwel wowote

inawezekana umesoma pale lakin ni mwaka upi?je uligraduate au la,lakin mshukuru mungu kama uligraduate kwa kuwa na degree bt vyuo vingi vya tz kama tungeviweka katika world rank nadhani vingi vingekuwa vya mwishoni mwishoni
 
duh, mmemshambuliaje? jmn jf ni shederrrrr
 
Nasikia wamegoma kwa sabab wanafundishwa na TAs! waendelee kugoma mpaka wawaletee walim wenye sifa,Hao TA ni w sekondar,
 
Kakakuonana,unayajua madai yaliyopelekea wagome juz?mojawapo nikufundishwa na walim ambao hawana sifa TAs!kuwa update.
 
Kakakuonana wanaosoma hapo wamegoma kwa kuwa wamerundikiwa TA,wewe unakanusha au nawe ni TA wa hapo,usiupake uongo rang
 
Usichokijua ni usiku wa kiza kinene..mtoa uzi kapotosha uma, hicho kitu hakipo.
Pia sio uungwana kujudge situation kama hauko well informed.
 
Ila si week iliyopita St John waliweka maandamano kupinga kufundishwa na ma T.A
 
Mojawapo ya madai yaliyopelekea wao kugoma mwz huu wa 11 nikurundikiwa TAs!
 
We martin.dk kuwa update,wamegoma juzjuz hapa bse kujaziwa TA,wachach weny mastaz wanatoka udom ambao hufundsha pat-taim
 
Nasikia wamegoma kwa sabab wanafundishwa na TAs! waendelee kugoma mpaka wawaletee walim wenye sifa,Hao TA ni w sekondar,

tanzania kwanza,ushabiki baadae,ni kwel tunadumaza elimu bila sisi wenyewe kujitambua
 
All in All St.Johns pana shida wakuu,
Na kama kuna vyuo vinavyopaswa kufangwa this should be the first.
Hao TA wenyewe sasa wengine wana 3.2!!!!
Nina jamaa yangu ambaye anafanya kazi hapo.
 
Sera ya taifa inasema digrii holda afundishe f.one mpaka f.four.Et ST.JOHN ndo wanatoa lekcha,waendelee na mgomo tu!
 
Inawezekana huyu jamaa ana certificate au diploma kufundishwa na TA ni sawa tu ila hapo chuoni inaonekana kuna uozo; hivi huwa mnaajiriwa wapi wahitimu wa hapo?
 
kama products za St. John ndio hizi, then tumekwishaaaaa

hata mwanangu wa form two haandiki vibaya namna hii
 

na wewe usingekuwa na degree ya kwanza

dogo unaandika vibaya sana, jitazame upya na ujaribu kuandika kama mtu mzima

Nimezoea style hii ya kuandika kwa watoto wa form one
 
Mi nawaunga mkono, waendelee na mgomo waliouanzisha jana ,hamuwez rundikiwa TA weny GPA Za 3 utafikir mko sekondar,
 
Tutorial Assistant = TA kwani hawa wanafundisha? nijuavyo mimi hawa kazi yao ni kumbebea Prof au Dk makabrasha kupeleka Lecture room na kwingineko

Hata uandishi wa mtoa mada unaona kabisa hamna kitu kichwani. Huwezi kuwa na degree miaka mitatu ukawa na uandishi wa chekechea. Hopeless vyuo vyetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…