wana JF kiukweli nilimaliza miaka kadhaa my first degree katika hicho chuo but what i learnt over ebhana maTA wa pale wanapiga kazi, while i was there niliopt GE na ENG but kuna TA mmoja duh alikuwa anaitwa SIR BEN alikuwa head of department yaGE na madam mmoja alikuwa anaitwa REHEMA MDOGO by that time hawa jamaa walikuwa wanapiga kazi na sio tu kupiga kazi pia walikuwa wanavitisho ile mbaya sometime unaweza sema naenda kuker hii koz lakin unajikuta unaperform vizur.hawa jamaa watu hata ukikutana nao nje na maeneo ya chuo kiukwel walikuwa wanaogopesha japokuwa walikuwa wadogo kiumri.sir ben alikuwa akiingia darasan akiona siku hiyo mpo wachache au akiona hamumuelewi basi utasikia YAP AM GOING TO GIVE YOU A QUIZ AND IT WILL 5 MARKS.Rehema Mdogo sasa ndo acha yeye alichokuwa anakifanya kile anachofundisha ndio kile kile anataka ukijibu kwenye mtihan wake yaani usabidili hata nukta.dah ila sitomsahau pia TA mmoja ninavyosikia amehamia NAIROBI UNIVERSITY,KENYA alikuwa anaitwa clara huyu nae alikuwa noma sana