Sitokisahau chuo cha St John's cha Dodoma

Sitokisahau chuo cha St John's cha Dodoma

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
wana JF kiukweli nilimaliza miaka kadhaa my first degree katika hicho chuo but what i learnt over ebhana maTA wa pale wanapiga kazi.

while i was there niliopt GE na ENG but kuna TA mmoja duh alikuwa anaitwa SIR BEN alikuwa head of department yaGE na madam mmoja alikuwa anaitwa REHEMA MDOGO by that time hawa jamaa walikuwa wanapiga kazi na sio tu kupiga kazi pia walikuwa wanavitisho ile mbaya sometime unaweza sema naenda kuker hii koz lakin unajikuta unaperform vizur.

hawa jamaa watu hata ukikutana nao nje na maeneo ya chuo kiukwel walikuwa wanaogopesha japokuwa walikuwa wadogo kiumri.sir ben alikuwa akiingia darasan akiona siku hiyo mpo wachache au akiona hamumuelewi basi utasikia YAP AM GOING TO GIVE YOU A QUIZ AND IT WILL 5 MARKS.

Rehema Mdogo sasa ndo acha yeye alichokuwa anakifanya kile anachofundisha ndio kile kile anataka ukijibu kwenye mtihan wake yaani usabidili hata nukta.dah ila sitomsahau pia TA mmoja ninavyosikia amehamia NAIROBI UNIVERSITY,KENYA alikuwa anaitwa clara huyu nae alikuwa noma sana
 
wana JF kiukweli nilimaliza miaka kadhaa my first degree katika hicho chuo but what i learnt over ebhana maTA wa pale wanapiga kazi, while i was there niliopt GE na ENG but kuna TA mmoja duh alikuwa anaitwa SIR BEN alikuwa head of department yaGE na madam mmoja alikuwa anaitwa REHEMA MDOGO by that time hawa jamaa walikuwa wanapiga kazi na sio tu kupiga kazi pia walikuwa wanavitisho ile mbaya sometime unaweza sema naenda kuker hii koz lakin unajikuta unaperform vizur.hawa jamaa watu hata ukikutana nao nje na maeneo ya chuo kiukwel walikuwa wanaogopesha japokuwa walikuwa wadogo kiumri.sir ben alikuwa akiingia darasan akiona siku hiyo mpo wachache au akiona hamumuelewi basi utasikia YAP AM GOING TO GIVE YOU A QUIZ AND IT WILL 5 MARKS.Rehema Mdogo sasa ndo acha yeye alichokuwa anakifanya kile anachofundisha ndio kile kile anataka ukijibu kwenye mtihan wake yaani usabidili hata nukta.dah ila sitomsahau pia TA mmoja ninavyosikia amehamia NAIROBI UNIVERSITY,KENYA alikuwa anaitwa clara huyu nae alikuwa noma sana

Chuo kikuu mkuu wa idara ni TA?Hiyo kweli hauwezi sahau hayo mengne ya kawaida vyuo vyote.
 
Icho sio chuo yaani TA anapewa hadi ukuu wa idara, nakumbuka chuo nilichosoma mimi TA walikuwa nikwaajili ya kusimamia semina, hawakuruhusiwa kufundisha mpaka wawe na MA(Assistant lect). Du icho sio chuo ni Grolified High school.
 
kawambwa njoo usome huu uzi utoe machozi ! tutorial assistant anaingia kwa darasa kupiga lecture ! yesu na maria, yelewiiiiiiiiii, only in TZ.
 
Tutorial Assistant = TA kwani hawa wanafundisha? nijuavyo mimi hawa kazi yao ni kumbebea Prof au Dk makabrasha kupeleka Lecture room na kwingineko

Yaani hata mimi nimesoma huu uzi by Issa Ramadhani lakini sikuamini.Nikaurudia kama mara 4 hivi lakini bado sipati picha,TA ndiyo mkuu wa idara! Ama kweli leo nimeamini kuwa kuna vyuo vikuu vya Kata hapa TZ.MUNGU TUNUSURU!
 
Nilichaguliwa hapo nikapata transfer, sasa niko SAUT Mwanza niko sahihi?
 
Icho sio chuo yaani TA anapewa hadi ukuu wa idara, nakumbuka chuo nilichosoma mimi TA walikuwa nikwaajili ya kusimamia semina, hawakuruhusiwa kufundisha mpaka wawe na MA(Assistant lect). Du icho sio chuo ni Grolified High school.

Mmmmh na wewe!!!!! MA ndo Assistant lecturer??? Umesoma chuo gani?
 
mm nimesoma pale,sisi ndio tuliokifungua chuo,mkuu wa idara alikuwa Benzet Rwelengera ni PHD candidate
 
Mmmmh na wewe!!!!! MA ndo Assistant lecturer??? Umesoma chuo gani?

mbona hakuna alipokosea? amesema chuoni kwao ili mtu afundishe ni lazima awe na MA=Masters of Arts(akiwa na maana kwa kozi za arts) mtu mwenye MA hutambulika kama Assistant Lecture kwenye ulimwengu wa taaluma. kosa lake liko wapi?
 
Mtoa mada siku nyingine kama huna taarifa za kutosha na za uhakika usitoe mada ili uonekane nawewe umetoa thread. Benezet ameanza pale ni Master holder.

Na amepata ukuu wa idara tyr akiwa na masters yake. Kwa sasahivi ni Phd holder na sio mkuu wa idara tn. Ni Associate Dean FAHE. Mkuu wa idara ni Madam Millu. Sasa sijui wewe ulisoma st. John's ipi?.

Alafu unakuta mtu anachangia bila hata doubt kuonyesha anaamini alichokisema mtoa mada kwa asilimia zote.

JF ni sehemu yenye heshima na kuaminika sio facebook kwahiyo usiiharibu kwa kukurupuka.
 
Mnachomshangaa mtoa mada mimi sikioni. Mbona chuo cha umma UDOM hiyo ni kawaida sana? MaTA waanafundisha hata postgraduates. Ndiyo hali halisi. Njooni mjionee
 
Mawenzi,mi niko UDOM mwaka wa tau sijawahi fundishwa na TA!ungesema Assistant lectures hao wako weng!labda wataje hao TA
 
post graduate wanaokuja kutoka vyuo vingine, nadhan ndo wanaoongoza kwa kudisko,kwa education ,kuna koz tunashea
 
Back
Top Bottom