RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu maneno yake "RAIS ANACHAPA KAZI IKULU KWANI LAZIMA MUMUONE AKITEMBEA KARIAKOO"
Katika vitabu vya Biblia neno uongo ni miongoni mwa amri za mungu na uongo ni kosa kubwa sana! Sasa kama aliweza kulidanganya taifa iweje aendelee kukalia kiti hicho je mama yupo salaama kiasi gani na kufanya kazi na watu kama akina Majaliwa.
Binafisi mama anakila sababu kufuatilia kwa karibu taarifa anazopewa na huyo mtendaji wa serikali maana haaminiki hata kidogo kwa nchi za wengine kwa sasa asingekuwa waziri mkuu angejiuzuru maramoja kwa kulidanganya taifa.
Mimi nasema mama kuwa makini na taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo unazoletewa na mtendaji wako huyo.