Sitokuja kumwamini hata kidogo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kulidanganya taifa kuwa Magufuli ni mzima

"RAISI ANACHAPA KAZI IKULU, KWANI NI LAZIMA MUMUONE AKITEMBEA KARIAKOO!?"

Hii ni kauli makini kabisa! toka kwa kiongozi makini....iliyotolewa katika muda uliostahili.

Ukiwa kiongozi makini, unapaswa kutoa kauli kama hizi ili kupunguza taharuki kwa umma....... Ili Kazi iendelee.......

No matter how the situation is.....that's leadership!
We jamaa una akili sana
 
Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu maneno yake "RAIS ANACHAPA KAZI IKULU KWANI LAZIMA MUMUONE AKITEMBEA KARIAKOO"

Katika vitabu vya Biblia neno uongo ni miongoni mwa amri za mungu na uongo ni kosa kubwa sana! Sasa kama aliweza kulidanganya taifa iweje aendelee kukalia kiti hicho je mama yupo salaama kiasi gani na kufanya kazi na watu kama akina Majaliwa.

Binafisi mama anakila sababu kufuatilia kwa karibu taarifa anazopewa na huyo mtendaji wa serikali maana haaminiki hata kidogo kwa nchi za wengine kwa sasa asingekuwa waziri mkuu angejiuzuru maramoja kwa kulidanganya taifa.

Mimi nasema mama kuwa makini na taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo unazoletewa na mtendaji wako huyo.
Acha chuki wew, mbona uliamini mapapai yana uviko 19??
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂Haa Haa
 
Acha kumpaka matope PM wetu mchapakazi..

...Kazi iendeleee.....
 
Sio kila mambo ww mwanainchi unatakiwa kuyajua au kuambiwa ukweli wake, ndio maana kuna viongozi

Uwez kujua angesema anaumwa ingeleta madhira gani, so pm alichofanya ni sawa kabisa

Rais ndio Raia namba moja tanzania, mambo yake sio ya kuongelewa Tu bila mpango maalumu
Kwa hiyo kusema uongo ndiyo mipango maalumu, huu ujinga gani. Kote ktk dunia iliyo endelea kulidanganya taifa ni uhaini kwa Wananchi. Kwani angenyamaza bila kuongeza uongo nani angemlazimisha au kuongea.

Je yeye kama kiongozi mweledi alikosa namna yoyote ya kuwasilisha ujumbe wa haki ya kiafya ya kiongozi wa nchi?
 
Ile hotuba iliua ndoto za Urais wa Majaliwa kimasikhara sana
 
Lini umeacha kumwamini Mungu ukaanza kutafuta kuwaamini WANADAMU?
 
Kwa hiyo kusema uongo ndiyo mipango maalumu, huu ujinga gani. Kote ktk dunia iliyo endelea kulidanganya taifa ni uhaini kwa Wananchi. Kwani angenyamaza bila kuongeza uongo nani angemlazimisha au kuongea.

Je yeye kama kiongozi mweledi alikosa namna yoyote ya kuwasilisha ujumbe wa haki ya kiafya ya kiongozi wa nchi?

Aliwasilisha hivyo kuwa rais ni mzima wa afya
 
Kama hilo umeshindwa stahimili kudanganywa na mkeo si utaua kabisa
 
We jamaa

PM alisema kilichopaswa kusemwa na Alie na Akili TIMAMU!!

Hilo ni nchi ZOTE Duniani wala SIO Bongo pekee!

PM ana Busara Sana!!

Tumtie Moyo na kumuunga mkono!

Ndio jpm pekee aliebaki KWA Sasa!

MUNGU ibariki Tanzania yetu
 
Hakuna mwenye ubavu wa kukaa na maiti ndani bwashee,kifupi yule mruangwa hapaswi kabsa kukalia kile kigoda
Akili za kuvukia barabara hizi zinaathiri sana ukuaji wa uchumi. Kila siku inabidi muambiwe Jambo hili kwamba unachokisikia kwa mawaziri, Rais, M/Rais na waziri mkuu ndicho unachopaswa kikisikia kutoka kwake na abadani kwa kiongozi mwenye kiapo Cha kutunza Siri hatoweza kusema nje ya yale anayopaswa kusema
 
Kwa hiyo kuumwa kwa rais ni ajabu!!!!!!ama kweli hii nchi imejaa misukule
Sio kila mambo ww mwanainchi unatakiwa kuyajua au kuambiwa ukweli wake, ndio maana kuna viongozi

Uwez kujua angesema anaumwa ingeleta madhira gani, so pm alichofanya ni sawa kabisa

Rais ndio Raia namba moja tanzania, mambo yake sio ya kuongelewa Tu bila mpango maalumu
 
Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu maneno yake "RAIS ANACHAPA KAZI IKULU KWANI LAZIMA MUMUONE AKITEMBEA KARIAKOO"

Katika vitabu vya Biblia neno uongo ni miongoni mwa amri za mungu na uongo ni kosa kubwa sana! Sasa kama aliweza kulidanganya taifa iweje aendelee kukalia kiti hicho je mama yupo salaama kiasi gani na kufanya kazi na watu kama akina Majaliwa.

Binafisi mama anakila sababu kufuatilia kwa karibu taarifa anazopewa na huyo mtendaji wa serikali maana haaminiki hata kidogo kwa nchi za wengine kwa sasa asingekuwa waziri mkuu angejiuzuru maramoja kwa kulidanganya taifa.

Mimi nasema mama kuwa makini na taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo unazoletewa na mtendaji wako huyo.
Shida Jamii forum tumafamiea na Ntarahamwe kama huyu mwehu

Hatuhitaji propaganda na wivu

Kwa taarifa yako hakuna Kiongozi Makini kama Majaliwa Kasimu Majaliwa.
Anayejua kazii vyema.

Kasimu MAJALIWA Kasimu chapa kazi achana na hawa Viwavi.
 
Back
Top Bottom