Sitokuja kumwamini hata kidogo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kulidanganya taifa kuwa Magufuli ni mzima

We jamaa una akili sana
 
Acha chuki wew, mbona uliamini mapapai yana uviko 19??
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂Haa Haa
 
Acha kumpaka matope PM wetu mchapakazi..

...Kazi iendeleee.....
 
Kwa hiyo kusema uongo ndiyo mipango maalumu, huu ujinga gani. Kote ktk dunia iliyo endelea kulidanganya taifa ni uhaini kwa Wananchi. Kwani angenyamaza bila kuongeza uongo nani angemlazimisha au kuongea.

Je yeye kama kiongozi mweledi alikosa namna yoyote ya kuwasilisha ujumbe wa haki ya kiafya ya kiongozi wa nchi?
 
Ile hotuba iliua ndoto za Urais wa Majaliwa kimasikhara sana
 
Lini umeacha kumwamini Mungu ukaanza kutafuta kuwaamini WANADAMU?
 

Aliwasilisha hivyo kuwa rais ni mzima wa afya
 
Kama hilo umeshindwa stahimili kudanganywa na mkeo si utaua kabisa
 
We jamaa

PM alisema kilichopaswa kusemwa na Alie na Akili TIMAMU!!

Hilo ni nchi ZOTE Duniani wala SIO Bongo pekee!

PM ana Busara Sana!!

Tumtie Moyo na kumuunga mkono!

Ndio jpm pekee aliebaki KWA Sasa!

MUNGU ibariki Tanzania yetu
 
Hakuna mwenye ubavu wa kukaa na maiti ndani bwashee,kifupi yule mruangwa hapaswi kabsa kukalia kile kigoda
 
Kwa hiyo kuumwa kwa rais ni ajabu!!!!!!ama kweli hii nchi imejaa misukule
 
Shida Jamii forum tumafamiea na Ntarahamwe kama huyu mwehu

Hatuhitaji propaganda na wivu

Kwa taarifa yako hakuna Kiongozi Makini kama Majaliwa Kasimu Majaliwa.
Anayejua kazii vyema.


Kasimu MAJALIWA Kasimu chapa kazi achana na hawa Viwavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…