omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 150
Nyerere ndiyo chimbuko la viongozi wabovu. Yeye ndiye aliyetupa Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete na................
Interesting, The same Nyerere uliyekuwa unajaribu kutumia his moral authority kumhalalisha mgombea wako sasa hivi unamlaumu kwa kukufikisha hapa tulipo?
Hivi Nyerere amehusika vipi na urais wa Kikwete? Yanakuwa yaleyale ya kulaumu ukoloni kwa matatizo yetu hata baada ya miaka karibia ya hamsini ya kutukuwa na ukoloni......
omarilyas