Interesting, The same Nyerere uliyekuwa unajaribu kutumia his moral authority kumhalalisha mgombea wako sasa hivi unamlaumu kwa kukufikisha hapa tulipo?
Hivi Nyerere amehusika vipi na urais wa Kikwete? Yanakuwa yaleyale ya kulaumu ukoloni kwa matatizo yetu hata baada ya miaka karibia ya hamsini ya kutukuwa na ukoloni......
Kama tetesi aka umbeya ungekuwa ndiyo utajiri, basi wewe na wengine wengi kama wewe mngekuwa mamilionea. Nenda pale mtaa wa Samora na Mkwepu kuna bookshop moja ina vitabu vyote. Kuanzia vya Sir Kahama mpaka Sir Chande.