Sitooa abadan asilan

Sitooa abadan asilan

kuacha kifanya jambo flani kwa sababu flani hakufanikiwa ama linamsumbua ni matumizi mabaya ya Akili, ungekuwa umeshawahi kuoa once, ungepost mambo mengine, wewe ni muoga, umejiwekea mipaka kwa kusikia na kushuhudia, haujaingia mwenyewe mchezoni, sio mbaya huo ni mtazamo wako Mkuu, lakini ndoa ina utamu wake ambao wakati mwingine ukiipatia utamubwake ni zaidi ya hiyo Mbususu.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuona watoto wako wanakula na wanakuwa na wewe karibu. Inakufanya upasue miamba ili vijana waishi vizuri. Na hapa kiasili inakamilisha uanaume wako
 
Kataa kuoa kataa utakuja kunishukuru, ila ni mawazo yangu kwahiyo changanya na zako
 
Sasa wewe Rasterman hujui kwamba mtu wa kwanza kuagiza gari aina ya Hammer kwenye nchi hii ni Zitto Kabwe, au hujui kwamba hana ndoa?

Huamini kwamba Sugu a.k.a Jongwe ni bilionea? Ana ndoa gani yule zaidi ya kula bata tu kwenye hotel yake kule Soko Matola?

Hata kama ni kweli hujawahi ona, hata masikio hayasikii?
Zitto ana mke
 
Sugu ana mke tuliza kichwa
 
Mimi ni Mwana ndoa mkongwe, lakini hapa unadanganya watu.

Kuowa au kuolewa siyo lazima ni hiyari ya mtu.

Kuna jamaa yangu mmoja amepitia ndoa ya mateso kiasi kwamba asingetamani tena ndoa, lakini ameondoka kwenye ndoa ya mateso, kamuachia mwanamke na Watoto nyumba na kila kitu, ameondoka na begi tu na Sasa ameowa mwanamke mwingine yuko peace kupitia maelezo.

Issue nzima IPO kwenye kutaka kuowa je unamuowa nani? ni soul mate wako?

Ndoa nyingi zinaharibiwa na majini mahaba na binadamu kwa kukosa maarifa tunashindwa kudeal na hivi vitu mapema.

Sasa utashangaa mwanamke anamnyima unyumba mume wake na wala hana bwana nje, hapo mnashindwa kujiongeza kama nyumba yako imevamiwa na mapepo?
Lakini si kaoa tena ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe Rasterman hujui kwamba mtu wa kwanza kuagiza gari aina ya Hammer kwenye nchi hii ni Zitto Kabwe, au hujui kwamba hana ndoa?

Huamini kwamba Sugu a.k.a Jongwe ni bilionea? Ana ndoa gani yule zaidi ya kula bata tu kwenye hotel yake kule Soko Matola?

Hata kama ni kweli hujawahi ona, hata masikio hayasikii?
Sugu ana ndoa mkuu, tena ya kanisani.
 
Mimi ni Mwana ndoa mkongwe, lakini hapa unadanganya watu.

Kuowa au kuolewa siyo lazima ni hiyari ya mtu.

Kuna jamaa yangu mmoja amepitia ndoa ya mateso kiasi kwamba asingetamani tena ndoa, lakini ameondoka kwenye ndoa ya mateso, kamuachia mwanamke na Watoto nyumba na kila kitu, ameondoka na begi tu na Sasa ameowa mwanamke mwingine yuko peace kupitia maelezo.

Issue nzima IPO kwenye kutaka kuowa je unamuowa nani? ni soul mate wako?

Ndoa nyingi zinaharibiwa na majini mahaba na binadamu kwa kukosa maarifa tunashindwa kudeal na hivi vitu mapema.

Sasa utashangaa mwanamke anamnyima unyumba mume wake na wala hana bwana nje, hapo mnashindwa kujiongeza kama nyumba yako imevamiwa na mapepo?
Kama huelewi nilichoandika bora usireply mm nazungumzia ushoga unavyopenyezwa kwenye jamii ww unaleta mambo ya u soul mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo hayanihusu mpka uoe inamaana umefanya maamuzi ya pamoja na mwenzi wako.

Uskurupuke elewa logic na usitetee kisa ukongwe wako kwenye ndoa unaweza ukawa mkongwe ila hujui lolote zaidi ya kulala na kuamka na vifaranga vyako
 
Kwani nimekulazimisha kuyaamini
Ha
giphy.gif
 
Kama huelewi nilichoandika bora usireply mm nazungumzia ushoga unavyopenyezwa kwenye jamii ww unaleta mambo ya u soul mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo hayanihusu mpka uoe inamaana umefanya maamuzi ya pamoja na mwenzi wako.

Uskurupuke elewa logic na usitetee kisa ukongwe wako kwenye ndoa unaweza ukawa mkongwe ila hujui lolote zaidi ya kulala na kuamka na vifaranga vyako
Kabla ya kureply huu uharo wako nimechungulia kwanza profile yako, nilipoona umejiunga 2022 nimekusamehe bure.

Nimeshapata majibu ni kwa nini hili jukwaa Sasa hivi wale member smart kichwani wengi wamekaa pembeni.

Am too old for this rubbish.
 
Kama huelewi nilichoandika bora usireply mm nazungumzia ushoga unavyopenyezwa kwenye jamii ww unaleta mambo ya u soul mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo hayanihusu mpka uoe inamaana umefanya maamuzi ya pamoja na mwenzi wako.

Uskurupuke elewa logic na usitetee kisa ukongwe wako kwenye ndoa unaweza ukawa mkongwe ila hujui lolote zaidi ya kulala na kuamka na vifaranga vyako
Wewe jamaa adabu huna kabisa, unaita familia ya wenzako vifaranga? Watoto wake na mke wake unawafananisha na vifaranga?

Sikujui ila umri wako unaonekana bado umtoto mdogo sana.

Mungu akusamehe bure, ukikua utaacha.
 
Back
Top Bottom