Sitooa abadan asilan

kuacha kifanya jambo flani kwa sababu flani hakufanikiwa ama linamsumbua ni matumizi mabaya ya Akili, ungekuwa umeshawahi kuoa once, ungepost mambo mengine, wewe ni muoga, umejiwekea mipaka kwa kusikia na kushuhudia, haujaingia mwenyewe mchezoni, sio mbaya huo ni mtazamo wako Mkuu, lakini ndoa ina utamu wake ambao wakati mwingine ukiipatia utamubwake ni zaidi ya hiyo Mbususu.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuona watoto wako wanakula na wanakuwa na wewe karibu. Inakufanya upasue miamba ili vijana waishi vizuri. Na hapa kiasili inakamilisha uanaume wako
 
Kataa kuoa kataa utakuja kunishukuru, ila ni mawazo yangu kwahiyo changanya na zako
 
Zitto ana mke
 
Sugu ana mke tuliza kichwa
 
Lakini si kaoa tena ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu ana ndoa mkuu, tena ya kanisani.
 
Kama huelewi nilichoandika bora usireply mm nazungumzia ushoga unavyopenyezwa kwenye jamii ww unaleta mambo ya u soul mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo hayanihusu mpka uoe inamaana umefanya maamuzi ya pamoja na mwenzi wako.

Uskurupuke elewa logic na usitetee kisa ukongwe wako kwenye ndoa unaweza ukawa mkongwe ila hujui lolote zaidi ya kulala na kuamka na vifaranga vyako
 
Kabla ya kureply huu uharo wako nimechungulia kwanza profile yako, nilipoona umejiunga 2022 nimekusamehe bure.

Nimeshapata majibu ni kwa nini hili jukwaa Sasa hivi wale member smart kichwani wengi wamekaa pembeni.

Am too old for this rubbish.
 
Wewe jamaa adabu huna kabisa, unaita familia ya wenzako vifaranga? Watoto wake na mke wake unawafananisha na vifaranga?

Sikujui ila umri wako unaonekana bado umtoto mdogo sana.

Mungu akusamehe bure, ukikua utaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…