Sitosahau mapacha wa Antivirus walivyoomba msamaha clouds

Ruge ni mtu makini sana,vijana huwa wanapandikizwa ujinga wanaanza kumrushia maneno wakianza kudidimia wanaenda kuomba msamaa sasa ngoja tusubiri ligi yake na wasafi maana efm wamesha sanda na muda ndio utatupa majibu.
EFM AWAJASANDA MKUU
 
Mimi mwenyewe walinikera sana na maswali walikua wanahojiwa ya kiwaki sana, alafu chaajabu wameomba msamaha na wamezidi kupotea zaidi....
 
J
Dah!!!wengine hapo walisha fanikiwa wakajiingiza kwenye anasa za dunia lawama anatupiwa Ruge,mbona vijana wenzao kama J mo wamefanya kazi na Ruge na wanaendelea kufanya nae kazi sasa hivi wako vizuri kwenye maisha yao na wanamafanikio.
J mo anamafanikio gani
 
Mgumu katika antivirus alikuwa ni danny msimamo wengene wote mapunga tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…