Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Hawa maniga walizingua Sana, walionyesha udhaifu mkubwa Sana kuomba msamaha clouds bora wangekausha tu, maniga nawakubali Sana ila hapa waliingia cha mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli simba na Jay dee wakiungana itakuwa poa sanaCLOUDS KIBOKO YAO SIMBA NA YULE DEMU LADY JAY DEE
Tena wangekausha wangekuwa mashujaa wa ile vita kwa kusimamia katika msimamo waoPamoja na kujidharilisha vile kwa kuomba msamaha ON AIR lkn bado Ngoma zao hazipigwi!!! Naungana nawe mtoa hoja BORA WANGEKAUSHA TU maana hakuna tofauti yoyote ya kabla na tangu walipoomba msamaha.
Hata wasafi radioHakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho,Radio One ,Radio Free leo zipo wapi na kama mfuatiliaji mzuri Clouds nguvu yao imepungua sababu ya EFM na kama Wasafi wakija na program nzuri basi itaendelea kushuka zaidi .Mapacha naona waliamua kulegeza sababu Captain mwenyewe Sugu alimalizana na Ruge baada ya Ruge kuwaomba MBOWE na MCHIMBI wamsaidie kumaliza utata wake na Sugu (Sugu alikuwa anawachana sana bungeni kuhusu unyonyaji wao kwa wasanii kupitia FIESTA na kuna mwaka akaandaa tamasha mbeya kiingilio bure siku ilele ambayo nayo FIESTA inafanyika ,wakaona anawaharibia kwani walipata hasara) na ndio maana wasanii wengi ktk antivirus nao wakaamua kusanda.Ila hiyo Radio ni swala la muda tu watu wataichoka EFM wapo vizuri sana.
Kweli kabisaSimba ndo dawa
Kweli kabisaKwa kweli tusimame na Efm na wasafi ili mnyonyaji afe au abadilishe tabia siyo kisa underground unatuimbisha bure wakati wewe unapata pesa
Muda wake umeisha now ameshawanyonya wasanii vya kutoshaKwa kweli tusimame na Efm na wasafi ili mnyonyaji afe au abadilishe tabia siyo kisa underground unatuimbisha bure wakati wewe unapata pesa
Kwa,kweli inatia uchungu unapandishwa jukwani unaimbishwa ata mia akuna siku ukifanikiwa kutoka kwa jitiada zako wanataka wakupangie show wakulipe shiling ngapiMuda wake umeisha now ameshawanyonya wasanii vya kutosha
Sasa msanii kama harmonize halipwi fiesta je hapo wengine inakuajeKwa,kweli inatia uchungu unapandishwa jukwani unaimbishwa ata mia akuna siku ukifanikiwa kutoka kwa jitiada zako wanataka wakupangie show wakulipe shiling ngapi
Vipi kuhusu kwa sugu na jdRuge ni mtu makini sana,vijana huwa wanapandikizwa ujinga wanaanza kumrushia maneno wakianza kudidimia wanaenda kuomba msamaa sasa ngoja tusubiri ligi yake na wasafi maana efm wamesha sanda na muda ndio utatupa majibu.
RUGE NI MAKINI KWENYE KUHARIBIA WASANII NA KUWANYONYA,LAKINI NAONA THIS TIME HANA BAHATI,AMEWANYONYA WENGI NA AMEHARIBU NDOTO ZA VIJANA WENGI MTAANI KISA TU KUTAKA UMUNGU MTU,YANI AKITAKA KUKUTOA KWENYE MCHIRIZI WA RIZIKI ANAKUTOA,DAAH!!I ILA INAUMA SANA,,FIKIRIA, PRO J,NGWEA,RAMA D,T .I.D,NA WENGINE KIBAO..Ruge ni mtu makini sana,vijana huwa wanapandikizwa ujinga wanaanza kumrushia maneno wakianza kudidimia wanaenda kuomba msamaa sasa ngoja tusubiri ligi yake na wasafi maana efm wamesha sanda na muda ndio utatupa majibu.
Dah!!!wengine hapo walisha fanikiwa wakajiingiza kwenye anasa za dunia lawama anatupiwa Ruge,mbona vijana wenzao kama J mo wamefanya kazi na Ruge na wanaendelea kufanya nae kazi sasa hivi wako vizuri kwenye maisha yao na wanamafanikio.RUGE NI MAKINI KWENYE KUHARIBIA WASANII NA KUWANYONYA,LAKINI NAONA THIS TIME HANA BAHATI,AMEWANYONYA WENGI NA AMEHARIBU NDOTO ZA VIJANA WENGI MTAANI KISA TU KUTAKA UMUNGU MTU,YANI AKITAKA KUKUTOA KWENYE MCHIRIZI WA RIZIKI ANAKUTOA,DAAH!!I ILA INAUMA SANA,,FIKIRIA, PRO J,NGWEA,RAMA D,T .I.D,NA WENGINE KIBAO..
View attachment 739166
Hawa maniga walizingua Sana, walionyesha udhaifu mkubwa Sana kuomba msamaha clouds bora wangekausha tu, maniga nawakubali Sana ila hapa waliingia cha mashoga[/qoute]
Dah kweli asee