Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali wakagoma kumtibia kisa sikuwa na pesa ya ( 150,000) ya kipimo Cha sit scan (Sina uhakika kama nimeandika jina sahihi). Mtu anakuambua ni lazima hiyo hela ipatikane cash ndo tiba ianze. Aisee