Pole sana mkuu. Kinaitwa CT Scan.Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali wakagoma kumtibia kisa sikuwa na pesa ya ( 150,000) ya kipimo Cha sit scan ( Sina uhakika kama nimeandika jina sahihi ). Mtu anakuambua ni lazima hiyo hela ipatikane cash ndo tiba ianze. Aisee
Ni CT scanMara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali wakagoma kumtibia kisa sikuwa na pesa ya ( 150,000) ya kipimo Cha sit scan ( Sina uhakika kama nimeandika jina sahihi ). Mtu anakuambua ni lazima hiyo hela ipatikane cash ndo tiba ianze. Aisee
Pole sanaMara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali wakagoma kumtibia kisa sikuwa na pesa ya ( 150,000) ya kipimo Cha sit scan ( Sina uhakika kama nimeandika jina sahihi ). Mtu anakuambua ni lazima hiyo hela ipatikane cash ndo tiba ianze. Aisee
Swali la hovyoKwani huna Bima!?
Duuh hili swali unauliza ukiwa unaelewa au ? Kwahyo angekuwa na bima hiyo 150,000/= wangetaka ya Nini ?Kwani huna Bima!?
La hovyo sana 😡Swali la hovyo
Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm
no mercy in this world..watu wengi wanakufa kwa okosefu wa hela
umasikini ni mbaya sana
Kuna watu ''watakupiga mawe'' lakini una akili sana. Haya mambo hata mimi siku hizi sisikitiki tena. Nchi hii ina kila raslimali na haikutakiwa iwe hivyo. Tunacheka na CCM badala ya kuwawashia moto.Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm
Na amenibariki kisawasawa mana natafuta pesa na sitokosa 150000 ,bagaradeshi kabsaShukrani sana ndugu yangu. MUNGU akubariki.
Nimekula nimeshiba na nimetoka kushusha tandamu viazi gunia 120 ,nimechukua changu nasubiria kugeuza ludewa ,safari inaanza jioni na ABC bus serviceMkuu umekula siku ya Leo?