jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Hayo Ma Travolta ni ma style ya miaka ya 70 huko,Kama ulikua hujui ndiyo leo nakufunguwa macho,tena Ma Cow Boy ndiyo walikua wanayapenda sana kwa sababu ya kuendeshea farasi!!Kwahiyo kuvaa kiatu jua nikiwa kali ni ushamba?
Mimi nadhani wewe unaetoa kauli kama hiyo ndio mshamba kwanza una viwu maana huwezi nunua travolta labda ununue viraba midosho ya elfu tano hapo kariakoo.