Hayo Ma Travolta ni ma style ya miaka ya 70 huko,Kama ulikua hujui ndiyo leo nakufunguwa macho,tena Ma Cow Boy ndiyo walikua wanayapenda sana kwa sababu ya kuendeshea farasi!!Kwahiyo kuvaa kiatu jua nikiwa kali ni ushamba?
Mimi nadhani wewe unaetoa kauli kama hiyo ndio mshamba kwanza una viwu maana huwezi nunua travolta labda ununue viraba midosho ya elfu tano hapo kariakoo.
Bro hivi kuvaa viatu ambavyo vilikua ni styles za zamani ndo ushamba??Hujui kwa mfano saiv style ya kuvaa mabwanga masuruali mapana ndo unyama?Fashion huwa zinarudi BablaiHayo Ma Travolta ni ma style ya miaka ya 70 huko,Kama ulikua hujui ndiyo leo nakufunguwa macho,tena Ma Cow Boy ndiyo walikua wanayapenda sana kwa sababu ya kuendeshea farasi!!
Culture dingii
Ndugu kila mkoa una uniqueness yake .. huwezi mfosi mtu wa chuga afanane na mwanaume wa dar never ever..... Au mtu wa dar afanane na na wa kigoma .. the same na Marekani. Mtu wa kule amarillo texas kule mashambani wanakolima mahindi ni tofauti na wa Averett washington .Sasa Kama ni Culture, ndiyo hata amuangalii uvaaji wenu na hali ya hewa ya mahali husika!? Sasa hiyo Elimu yenu inawasidia nini!? Siku hizi hata Wamasai nao wamestarabika,kuna sehemu wanajua kabisa hapa Lubega no,wanakula vitu vikali!!
Siyo ushamba! Ila jifunzeni kutenganisha Mavazi ya twn na Mavazi ya porini!! Ukiwa twn piga vazi la twn! Na ukiwa porini ndiyo mpige hayo mabuti ya kuulia Nyoka!!Bro hivi kuvaa viatu ambavyo vilikua ni styles za zamani ndo ushamba??Hujui kwa mfano saiv style ya kuvaa mabwanga masuruali mapana ndo unyama?Fashion huwa zinarudi Bablai
Hayo Ma Travolta ni ma style ya miaka ya 70 huko,Kama ulikua hujui ndiyo leo nakufunguwa macho,tena Ma Cow Boy ndiyo walikua wanayapenda sana kwa sababu ya kuendeshea farasi!!
Hakuna cha culture wala nini, unatuaibisha mbwa koko wewe,wewe ni wa matejoo kweli,huwezi kuta kijana wa njiro au mskao mapya/kaloleni akiongea au kuvaa kipuuzi hivyo,sidhani kama ni ushamba ila mna staili za kishamba kweli!! The A-towner
Kwakweli Mkuu..Kuna namna naweza fanya nisiwe naoma Post zako...ntashukuru Sana ukinisaidia kwa Hilo..Mkuu ipo ivii..kila mtu hapa ana uniqueness yake,We don't need to sound the same,,Mimi niliamua kutumia Ngareroo slangs coz nililenga audience flani,,,Kama huelewagi threads zangu tambua kuwa sijakulenga wewe,We kama umevaa jezi alaf mchezo huuelewi we ishi humo2,,Sio lazima Uelewe
Cha msingi msingi acha kudere post za chalii.Kwakweli Mkuu..Kuna namna naweza fanya nisiwe naoma Post zako...ntashukuru Sana ukinisaidia kwa Hilo..
[emoji23] inabidi kuanzishwe short course ya kufundisha "Chugga slang".Mkuu...Kama Kweli umesoma nakuelimika..unatakiwa ujue audience yako unayo e address..Sasa Kama huwezi kutofautisha Watu waÀrusha...na the rest of Tanzanians...UTakuwa unashida mahala.
Sijawai maliza kusoma Thread yako.
Wivu na Watu wa DSM unakusumbua Dogo!!Wadarisalade wanafeli dakika ya 90 asee,,yaani wanaleta perepete za kimamiloo,,njaro za kiwaki sana hizi