Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Kama nauli ya chinongwe Dar ilikua 22,000/= kwa basi laa machinga la kupitia Mwena ndanda to Dsm,huu mkasa utakua wa miaka hii ya karibuni 2019-2021 Feb....Pole ndugu
 
Kama wewe ndio unaanzia kujifunza hapa haujioni kama wewe ndio bado kula kulala.
 
Aisee!
 
Mkuu pole sana, kiukweli umepitia magumu sana japo hujamaliza mkasa wako.

Natamani nami niandike kitu hapa(japo siyo ngumu kama hii) lakini nafikiri nitachosha watu kwa kutoimaliza kwa wakati.

Ila cha kujifunza ni kwamba ukikuta mwenzako amekwama na una uwezo wa kumsaidia,basi kwa haraka sana msaidie hata kama hajakuomba.
 
Huyo wa Prutable wala haina shida kwasababu lugha siyo yake. Sasa, wewe mzawa wa lugha ya Kiswahili hata kuandika unakosea halafu cha kushangaza una mkashifu mtu ambaye siyo mzawa wa lugha ya Kiingereza.
Baada ya kusoma na kujua lugha ya malikia unawaona wanaokosea hawajasoma wakati wewe hata kuandika maneno ya lugha ya Kiswahili yanakushinda.
Umesoma lakini ulichokiandika? Halafu unawakashifu wenzako. Hata mtoto wa darasa pili hawezi kuandika ulichokiandika. Jifunze kuandika vizuri ndipo uanze kuwakashifu wengine.
Mm ntakaeandika tanzania na aliendandika prutable unaona tuko sawa,anyway .....
 
Elezea kidogo mkuu
 

Duuh
 
Pole sana,
Lkn watu wa Pwani huwa hatusemi "samaki zangu" ni samaki wangu, na sio kwa samaki tu ni kwa viumbe hai wote hata wakiwa wadogo zaidi ya utitiri, unatakiwa useme "utitiri wale" ng'ombe wale sio ng'ombe zile na viumbe hai wengine wote ni huvyo.

Lkn pia nikupe sifa yako,
kuwa hakuna tukio uliloliacha maana hata pale ulipokunywa maji uliangalia saa kuwa maji ulikunywa kwa muda gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…