Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Mkuu funguka zaidi
 
Lindi kuna dhahabu.??nieleweshe vzr mana ndio nasikia leo hii taarifa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,Lindi kuna machimbo ya dhahabu...Si unaijua timu ya Namungo FC?

Hadithi fupi:
Pale Ruangwa kuna machimbo ya dhahabu na maeneo mgodi ulipo ndy panaitwa mgodi wa namungo.wachimbaji wadogowadogo wakaamua kuanzisha timu ya Mpira na kuiita Namungo FC kabla ya kuwa Namungo hii iliyo chini ya my Kasim majaliwa, timu kubwa inayoshiriki ligi kuu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
mko wapi mliokuwa mnasema hii chai
bado mpoooo??
tupunguze ujuaji aisee hasa kwenye maisha ya watu
Tumeshakubaliana kwamba tuendelee kuEnjoy Utunzi wa huyu jamaa ila sio kwamba hii ni stori ya kweli....haina uhalisia mzee,
 
Hii episode nimecheka sn..siyo Kwa ubaya Ila dah! MUNGU kuna muda anawapitisha watu ktk magumu sn

Gari lenyewe umepata Kwa tabu,tena linaenda msibani, Siti ya shida alaf muda mbaya na ukapitishwa Lindi mjini limekushusha kwenye mabwawa ya chumvi [emoji28]

Mkuu itakuwa kuna mtu huko kwenu alikuloga ili upeperuke ukafie ugenini,tena kifo cha taabu hahahaha [emoji28][emoji28]..pole sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ulayasi Ludewa moko hiyo mitaa nmeichakaza mno
 
Jamaa akaangalie nyota yake jamaa Hana Bahati hata kidogo kama ni kweli aangalie sana nyota yake ana gundu la hatari
 
Anzisha uzi mkuu tupate kujifunza kuptia hyo stori yako
 
Hiyo ulayasi Ludewa moko hiyo mitaa nmeichakaza mno
Haha! Ulayasi na Mlangali ndani tumekunywa sana ulanzi.

Ilifika kipindi tulikuwa tunakunywa ulanzi kwa mikate ile ya ngano migumu mizuri sana.
Kuna muda mkifika darasani wavulana kibao mnanuka ulanzi coz mmeutumia si kwa ulevi bali kama breakfast.
 
Lugarawa nshafika kaka pale kwenye ile guest ya yule jamaa mwenye mabasi ya kwenda njombe mwaka 2005 na 2007 dah napakumbuka sana pande zile karibu na kanisa lile,wewe ni wa lugarawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…