Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uje utupe sasa na wewe iyo storyMwanaumee km mwanaumee ktkt utafutaji tunapitiaa mengi sanaaa ,hapaa ninaposomaa uzii huu napitiaa magumu mpk naonaa ninachokisomaa kwa jamaa bado naonaa alipitiaa madogo maana yy bora hata alikuwa anakutanaa na binadamu Wanamsaidiaa mia mia mbiliii ,kuliko mm nilikutana na wanyamaa badala ya binadamu walitakaa kuniuaa nakunila kbs ,ila MUNGU acha aitwe MUNGU [emoji120][emoji120][emoji120]
Ndio maana una formula ya kujikinga na baridiNimekupa mfano mdogo tu, mimi nimeishi nchi zenye baridi kali elewa hilo kwanza.
Inamaana hujagundua kabisa kwamba huyu jamaa ni mzuri sana kwenye Utunzi?Uhalisia ni Asilimia 99.9 wengine hayo maneno tunayafahamu na habari ya kutunga inafahamika..vipo vionjo anaweka ili kuifanya simulizi yake iweze kulika.
Yakikukuta na wewe utapata cha kusimulia.
Hapo Njombe pana joto sana pandisha makete zinakoanguka barafu. pale ni kijijini tena kanisani hakuna cha whisky wala pombe ya kienyejiNiliwahi kufika njombe mara mbili, msimu baridi imekolea sana nilikuwa kwenye hotel ina maji moto na fire place nakini sikuoga siku 4.
Mara nyingi mimi siongozwi na kichwa cha chini, naongozwa na kichwa cha juu.
Kwenye baridi nikipata Whisky wala sina haja na kitu kinaitwa demu, kwanza takwimu za ngoma mkoa wa njombe ni hatari kwa sababu ya ile hali ya hewa yao.
Nyuma kidogo ya lugarawa kama km 16 hivi.Lugarawa nshafika kaka pale kwenye ile guest ya yule jamaa mwenye mabasi ya kwenda njombe mwaka 2005 na 2007 dah napakumbuka sana pande zile karibu na kanisa lile,wewe ni wa lugarawa?
Kwani hayo maambukiz ni sabab ya hali ya hewa? Kwan hii nchi ni njombe tu ndo kwny baridi?.Niliwahi kufika njombe mara mbili, msimu baridi imekolea sana nilikuwa kwenye hotel ina maji moto na fire place nakini sikuoga siku 4.
Mara nyingi mimi siongozwi na kichwa cha chini, naongozwa na kichwa cha juu.
Kwenye baridi nikipata Whisky wala sina haja na kitu kinaitwa demu, kwanza takwimu za ngoma mkoa wa njombe ni hatari kwa sababu ya ile hali ya hewa yao.
Wewe ni muongo!Nyuma kidogo ya lugarawa kama km 16 hivi, sehemu inaitwa Mkiu. Njia panda ya kuelekea Ludewa na huko Lugarawa
Uliza swali lolote, jiographia, kuna corner ngapi kwenye barabara, watu maarufu wa maeneo hayo, vilabu vya pombe, bar maarufu, shule, nk. Nitakujibu.Wewe ni muongo!
Umewahi kufika njombe winter time? huko Makete ndio usiseme, ukiacha ndoo ya maji nje asubuhi unakuta barafu.Kwani hayo maambukiz ni sabab ya hali ya hewa? Kwan hii nchi ni njombe tu ndo kwny baridi?.
Kuna maeneo kama lushoto huko tanga,mbeya, arusha, moshi kuna baridi balaa lakn mbna maambukizi hayapo juu kama inavosemwa njombe?? Nahisi kuna sabab nyngne
Njombe tu hapo ukifika bar ukiagiza bia, mhudumu hakuulizi kama ni bia ya moto au baridi, anakuletea bia ikiwa ya baridi tayari.Umewahi kufika njombe winter time? huko Makete ndio usiseme, ukiacha ndoo ya maji nje asubuhi unakuta barafu.
Alipewa 20k na mwalimu mkuu pale alipotaka kunjunja shuleni.[emoji3][emoji3]kwa namna jamaa anavyosimulia utadhani shetani na Mungu walikaa kikao kisha wakaafikiana shetani aendelee ila asimuue jamaa kama ilivyokuww kwa ayubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani unawezafanya jambo ukidhani unaweka yajayo sawa sekunde zijazo kumbe ndio unaharibu kabisa,mfano hapo kwenye kudai nauli.
sema mkuu mara ya mwisho uliishia umekabidhi elfu 5000 kwa boda umebaki na 5000 mfukoni,hujatwambia nani alikufadhili 25 baadae ambayo ulikuwa nayo wakati unakutana na majangiri.
Mbona kaelezea sema ulipitwa kusoma[emoji3][emoji3]kwa namna jamaa anavyosimulia utadhani shetani na Mungu walikaa kikao kisha wakaafikiana shetani aendelee ila asimuue jamaa kama ilivyokuww kwa ayubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani unawezafanya jambo ukidhani unaweka yajayo sawa sekunde zijazo kumbe ndio unaharibu kabisa,mfano hapo kwenye kudai nauli.
sema mkuu mara ya mwisho uliishia umekabidhi elfu 5000 kwa boda umebaki na 5000 mfukoni,hujatwambia nani alikufadhili 25 baadae ambayo ulikuwa nayo wakati unakutana na majangiri.
Alipotaka kufanyaje???Alipewa 20k na mwalimu mkuu pale alipotaka kunjunja shuleni.
Matusi ya nini!!!??? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho!?Wewe huna akili halafu ni bonge la chok0. Unakurupuka mno na hufikiri mbali. Kimo chako cha kufikiri ni mita 5 tu. Yaani ungekuwa rafiki yangu huo ulofa walah ungekutoka.