Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Mzee baba lete vitu basi achana nao wanaokuchunguza maisha yako unajua jf watu wengi wanajifanya wajuaji sana ukisema uanze kuwaza ayo mambo yao hutopata amani kikubwa ni kuwapuuza tu. Ila nyie mnaemkosoa mwamba sio powa mngekuwa mnajua basi mngezaliwa ulaya uko kwa wenye akili nyingi ona mpwayungu village kagoma kuleta kastori ketu ambacho tunajifunza mambo ya maisha ila mpwayungu wapuuze tu lete stori tuongeze siku za kuishi
 
Mkuu wewe hadithi yako iko wapi tuisome.
 
Mkuu please lete stori tupo wengine tunaitaji kujifunza wapuuze wale wote ambao wapo hapa kukukejeli lete vitu mzee
 
Achane nae huyo wivu tu unamsumbua.
 
Mkuu mie nakushauri achana kabisa na huu Uzi hapo ulipofikia inatosha maana sio busara kuandika kitu huku unakinyongo nacho wewe fanya maisha yako tu kwa sasa na sie wasomaji hata hatutaki uendele nao huu uzi
 
Mkuu achana na hawa watoto wa mama,ww tuletee story tunaenjoy na kujifunza arifuu
 
Ofsa wapoteze hao vidampa shusha stori mkuu.
 
Hawa wajuaji huwa wapo sana kwenye nyuzi za watu hapo usikute wapo kwa shemeji zao wanavaa tu soksi na malapa na kuangalia movies sebulen hawajui kisanga Cha utafutaji kuwa Kuna hatua maisha huwa yanakua magumu zaidi ya movie za majonzi.
Achana nao Leta uzi kwa mslahi ya sisi tunao amini wakati wowote chochote kinaweza kutokea katika maisha.
 
mkuu achana na huyo mbuzi, kwanza hapa unatusimulia kwa starehe yako, hakuna anayekulipa, hakuna unayemlazimisna asome na wasiposoma au wakisoma havikuongezei lolote kwenye maisha yako,wapuuze kabisa hao wapuuzi wachache tuangalie sisi tusio na noma kwa simulizi yako.nawexa kisema umekosea sehemu moja tu kuwajibu hao,hukutakiwa kabisa tuachie sisi hiyo kazi wewe tupia kurasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mwamba achana na hayo lete mastory

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hata mumshawishi vp mtoa uzi ashakataa kwahiyo kaeni kwa kutulia
 
Kuandika uzi mrefu katika kujaribu kumdodosa mtu usiyemjua ni upuuzi. Soma story mezani, maisha yake binafsi achana nayo, maana sio muhimu kwako. Huu ushauri uende kwa wapuuzi wengine pia.
Wanakatisha tamaa sana hawa watu aseeeee
 
Mpwayungu village nakusihi katika imani yako achana na hao akina Tomaso.(wasioamini)
Maliza stori yako ukate kiu ya wengi.
Usiwaache watu na hamu kwa stori yako tamu.
Ahadi yangu kwako kama hujaoa nitakupa binti yangu bikra akupoze machungu ya kuhaso na maisha ya ufukara.
Binti yangu ni mwajiriwa ana kipato sio chini ya 3M kwa mwezi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…