Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Kwa Jinsi nlivyo fwatilia story... Mwandishi kaishia sehem ya 13.
Baadhi ya Jf member na hisi ni watoto wa form 2 na Form 4 na hata Six Liver.
Ila ndo members humu hakuna namna ni kuwa kejeli kuwadharau na kuwa puuza kama mapunguani.

Mleta mada mkuu endelea achana na mapungulala...yalio shiba ugali wa shemeji na wana lala Seblen.
 
Kama baridi ni kichocheo cha watu kufanya ngono zembe basi Ulaya itakuwa inaongoza kwa ufanyaji wa ngono zembe.
 
Kwani hayo maambukiz ni sabab ya hali ya hewa? Kwan hii nchi ni njombe tu ndo kwny baridi?.

Kuna maeneo kama lushoto huko tanga,mbeya, arusha, moshi kuna baridi balaa lakn mbna maambukizi hayapo juu kama inavosemwa njombe?? Nahisi kuna sabab nyngne
Itoshe kusema hiyo sababu aliyoitoa ni ya kipumbavu.
 
Mpwayungu Village ile misukosuko yote uliyokumbana mara kupoteza nauli,kulala nje ya stand ya mabasi,kutembea umbali mrefu,kupanda juu ya miti,usiku na mchana wote wako bado tu unashindwa kustahimili maneno ya binadamu,
Jikaze wewe mtoto wa kiume
 
Imeisha iyooo
 
Documents ulizo attach hakuna hata moja ambayo tunaweza kuthibitisha kwamba ni zako, any fool would be in a position to do as you have done
 
Mpwayungu Village ile misukosuko yote uliyokumbana mara kupoteza nauli,kulala nje ya stand ya mabasi,kutembea umbali mrefu,kupanda juu ya miti,usiku na mchana wote wako bado tu unashindwa kustahimili maneno ya binadamu,
Jikaze wewe mtoto wa kiume
Imeisha hiyo
 
Leo mtaongea yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…