Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Nimeishia sehemu ya Tisa

Bongo movie wachukue scripts hapa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
kidagaa; oya vipi unaendelea na story yako?

mpayungu; siendelei tena na story yangu, watu wenyewe hawaniamini

kidagaa; imeisha iyooo

mpwayungu; twenzetu tukacheze prutable

kidagaa; powa mwanangu lakini kwanza tafuta gest house ukaoge ubadilishie na nguo unaonekana kama kichaa
 
Lakini sio kila kilicho public kinakuhusu ukiona kitu hukielewi au unapata wasiwasi nacho ujue hakikuandikwa kwaajili yako,
Kwahiyo vingine unapotezea tu.
kama ni hivyo angewaandikia privately hao ambao wangemwelewa. asiweke huku JF kwa wote. awaandikie pembeni sisi tusione.
 
kidagaa; oya vipi unaendelea na story yako?

mpayungu; siendelei tena na story yangu, watu wenyewe hawaniamini

kidagaa; imeisha iyooo

mpwayungu; twenzetu tukacheze prutable

kidagaa; powa mwanangu lakini kwanza tafuta gest house ukaoge ubadilishie na nguo unaonekana kama kichaa
Imeisha hiyo
 
Mpwayungu Village ile misukosuko yote uliyokumbana mara kupoteza nauli,kulala nje ya stand ya mabasi,kutembea umbali mrefu,kupanda juu ya miti,usiku na mchana wote wako bado tu unashindwa kustahimili maneno ya binadamu,
Jikaze wewe mtoto wa kiume
Cndo hapo Sasa hta mm nmeshangaa kwanza mwanaume unaanzaje kususa kisa maneno ya watu
 
Kama kutunga ni rahisi hebu mmoja atunge chapter zilizobaki kukamilisha 25, tutampa ya maji.
 
sasa kwa nini yeye atake kuaminisha kuwa ni kweli wakati si kweli?shida ndo ipo hapo tu. hii story inasimuliwa kwenye group yeye anaileta huku akijifanya ni yake
hata kama story yake sio ya kweli wewe inakuuma nini si inamuhusu yeye tunakuona tangu page ya kwanza hadi hii 52 umeshika bango na kung'ang'ania hii story ya uongo na bado unalazimisha wote humu tuamini au tuwe na mtizamo unavyotaka wewe! na zaidi huna hoja ya maana unaimba tu kama kasuku lete story yako moja ya ukweli kama mfano watu wajifunze kupitia kwako ila ww toka page ya 1 hadi 52 uko bize umejipa kazi ya kutoa kasoro kila page,kila commet,kila quote acha ujuaji wa kishamba wewe mtoto wa mama uliyelelewa na dada wa kazi
 
Msaidieni kulipia bill ili apate muendelezo wa ilipoishia hiyo story la sivyo sahauni kuhusu kumalizia. Kuna wajomba wanaumiza vichwa kutunga hizo hadithi sio rahisi nyie mzipate hadi mwisho bure bure tu
Afunguke sasaa... Sa mtu kaingia mtini asee si tufanyaje...mjini hapa unaweza pigwa shilingi kweupe.

Na ndomaana hunikuti na soma riwaya story JF maana mwishoni tuu lazima ukutane na Mshono
 
Mtu ukiona bandiko halina mashiko kwako ustaarabu ni kujiondokea.

Kuliko kijitutumua kubishana huku ukidhalilisha wazazi wako. Kwamba ni kwa namna gani wamezaa hasara kubwa kama Wewe.
Aisee yani ni vitu vinashangaza sana yani mtu kukomalia kitu ambacho hata yeye hana ushahidi kama ni uongo na hata kama ni uongo wewe inakuuma nini c uache kusoma, Jf inawatu wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom